Picha: Lowassa abuni mbinu mpya ya kampeni ya Urais

Picha: Lowassa abuni mbinu mpya ya kampeni ya Urais

Acheni upuuzi;Lowassa hatengenezi hayo mabango na wala hauzi lakini kilicho dhahiri ni kuwa wananchi wanamhitaji

Hawa watu wa Membe na Pinda ni vichaa sana. Hayo mabango ni wananchi wenyewe ndio utengeneza. Fedha.za Ghadafi, Ecsrow na sakata la sukari zinawatokea puani
 
Una uhakika hajasema chochote,unataka aseme mara ngapi?.Hiyo miela anayowamwagia watu kamanjugu unadhani ni ukarimu tu,kama kuna mtu anautamani upresidaa hapa nchini si mwingine bali huyo mtu,na akiukosa inaweza ikamsababishia madhala makubwa kisaikologia.

Hajawai kutangaza popote pale na hajasema lolote lile popote pale
 
Acheni upuuzi;Lowassa hatengenezi hayo mabango na wala hauzi lakini kilicho dhahiri ni kuwa wananchi wanamhitaji
Tatizo akili yako ndogo sana kijana hakuna aliyesema kuwa Lowasa anatengeneza yeye ila anachofanya anagawa hela kwa watengenezaji.
 
Hivi ni kwanini baadhi ya member wa Jf wanahofu kubwa na ndugu Lowassa? Ilihali mwenyewe hajasema chochote? Watanzania bana inabidi washushiwe Malaika, nadhani hata akishushwa malaika bado kuna watu watahoji ni kwanini ana mabawa mawili badala ya moja! Watanzania porojo sana halafu hamna kitu.

Kakosa vijisenti huyo
 
Lowasa anahangaika sana akishindwa uraisi atakufa kwa presha .
 
Lowasa anahangaika sana akishindwa uraisi atakufa kwa presha .

Humjui Lowassa..muulize salim na sumaye aliwafanya nini mpaka JK akapitishwa kuwa mgombea...
 
Huyu fisadi ambaye Nyerere alimkataa?! atawale nchi gani? labda akatawale kwao LOLIONDO" akipata hakika tutakoma ufisadi
 
Back
Top Bottom