kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,463
Acheni upuuzi;Lowassa hatengenezi hayo mabango na wala hauzi lakini kilicho dhahiri ni kuwa wananchi wanamhitaji
Una uhakika hajasema chochote,unataka aseme mara ngapi?.Hiyo miela anayowamwagia watu kamanjugu unadhani ni ukarimu tu,kama kuna mtu anautamani upresidaa hapa nchini si mwingine bali huyo mtu,na akiukosa inaweza ikamsababishia madhala makubwa kisaikologia.Hivi ni kwanini baadhi ya member wa Jf wanahofu kubwa na ndugu Lowassa? Ilihali mwenyewe hajasema chochote? Watanzania bana inabidi washushiwe Malaika, nadhani hata akishushwa malaika bado kuna watu watahoji ni kwanini ana mabawa mawili badala ya moja! Watanzania porojo sana halafu hamna kitu.
Una uhakika hajasema chochote,unataka aseme mara ngapi?.Hiyo miela anayowamwagia watu kamanjugu unadhani ni ukarimu tu,kama kuna mtu anautamani upresidaa hapa nchini si mwingine bali huyo mtu,na akiukosa inaweza ikamsababishia madhala makubwa kisaikologia.[/QUOT
Kuna uwezekano huyu mzee akiukosa urais anaweza akafa ghafla, maana anang'ang'ania kama kaweka kitu chake ikulu. kwa kwel ccm wasijaribu kufanya kosa hata tu lakumpenekeza.
Haaa lowasaa ana mpinzanii
Hivi ni kwanini baadhi ya member wa Jf wanahofu kubwa na ndugu Lowassa? Ilihali mwenyewe hajasema chochote? Watanzania bana inabidi washushiwe Malaika, nadhani hata akishushwa malaika bado kuna watu watahoji ni kwanini ana mabawa mawili badala ya moja! Watanzania porojo sana halafu hamna kitu.
Acheni upuuzi;Lowassa hatengenezi hayo mabango na wala hauzi lakini kilicho dhahiri ni kuwa wananchi wanamhitaji
Pm alojiuzuru hajatangaza nia...kelele za nn?
Aliyekuambia anatengeneza mwenyewe nani? Yeye anamwaga hela chafu kwa wapambe ndo wanatoa tenda kwa watengenezaji. Acha upuuzi dogo!
Alijiuzulu kwa kushinikizwa by force si kwa hiari yake kwa ufisadi wa richmond.
Leta ushahidi!