PICHA; Lissu, Msigwa Walivyoiteka Iringa Jana!

PICHA; Lissu, Msigwa Walivyoiteka Iringa Jana!

chadema si kaskazini,kusini,magharibi,mashariki BALI NI TANZANIA NZIMA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
PIPOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOZZ!!!!!!!!!!!!!!!!
 
M4c forever ritz yuko wapi?

Mahali kama hapa kamwe hutamuona. Most likely anaugulia maumivu ya ngumi za uso alizopata baada ya kuanzisha uzi wa kutaka Dr Slaa awe anahudhuria misiba ya wasanii kama mwenyekiti wao kiwete, oops! kikwete!
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke Mungu awabariki CDM kwa kuwafumbua Watanzania wengi waliokua wamelala usingizi. Viva Chadema viva makamanda
 
Back
Top Bottom