Picha kama hizo zinanifanya mwaka 2015 niuone upo mbali sana .... 'Magamba' ni vema kama wakaanza kujisafisha kwani, wasiwasi wangu ni matumizi ya mahakama za kijamii kama ile iliyomkuta 'Gaddafi'! CCM jipangeni ..........
ccm wakiona ummati hivi, ndio watakavyozidi kupanga mikakati ya HUJUMA NAWIZI WA KURA. ndio maana wanaipenda ile kauli tangu enzi za Mh L. Mrema juu ya wingi wa watu kwenye mikutano kuwa sio alama ya ushindi
segwanga, watu kama nyie mna tofauti gani na akina mwigulu, acheni mambo haya ya kitoto!Hizi ndo kazi za kuonekana kwa watu ambao damu yao wameitoa kwa ajili ya kulikomboa taifa hili. Big up msigwa, lissu na wengine wanahangaika na kuitoa nchi yetu katka mfumo analogia kwenda dijitali. Sio kama anavyofanya mzee wa matunguri eti 'sitaliongelea suala la urais mwaka huu'' mi nakukumbusha sio mwaka huu tu bali milele hautauongelea urais wa nchi labda uongelee urais wa matunguri