Picha: Lema na Mwigulu katika uzinduzi wa nyumba za magereza Kisongo,Arusha

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,695
22,717
Waziri kivuli wa mambo ya ndani na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mh.Godbless Lema akiwa na Waziri wa Mambo ya ndani Mhe.Mwigulu Nchemba leo katika uzinduzi wa nyumba za magereza kisongo Arusha.
5e51e0903a55d9c99c72c51ec65acd77.jpg
1a96eb13add0c7dbb6e6beb853e3721d.jpg
41bfd51b6d40de812b76e15e22023b20.jpg
470dd67023ff61d65b0386eeb89f469a.jpg
 
Mwigulu anataka kuwa JK janja sana hii. Hapa Mwigulu anajua Arusha ni Chadema Damu na katumia ule msemo "If you can't beat them Join them" Huyu jamaa ni sungura anajua anahitaji support mbele ya safari ili kufikia malengo yake kisiasa.Sio kina Gambo ambao wanajua mwisho wao ni ukuu wa mkoa. Siasa usipokuwa mjanja lazima ukwamie kwenye nafasi za uteuzi. Jamaa sasa hivi amekuwa makini sana kwenye kucheza na siasa sio kama zamani ambako alikuwa hajui kuwa siasa inahitaji ubalance pande zote mbili ili kupata uungwaji mkono na wote pale makundi hasimu yatakapotokea.
 
Kwani kuna mtu angepiga kelele!! Wengine ubaguzi sasa!!?

ACHA nikae KIMYA...!
 
Siasa inamaajabu kuliko hata ya aliyetuumba. Yani yule aliyepiga mabomu olasiti ndio amekaa pamoja na aliyetarajiwa kumalizwa na mabomu yenyewe. Mwisho wa siku wakapoteza maisha malaika wasio na hatia wakitoka madrasa na raia waliokuwa jirani na tukio.

"PAMBANA NA HALI YAKO"
 
Kwani kuna mtu angepiga kelele!! Wengine ubaguzi sasa!!?

ACHA nikae KIMYA...!
Uzi wako umefutwa ikabidi nikusake huku
Mkuu hajakosea

have confidence in someone
to trust someone; to know that someone will be true. I have confidence in you, and I know you will do well. Randy tends not to have confidence in anyone.
See also: confidence , have
McGraw-Hill Dictionary of American Idioms and Phrasal Verbs. 2002 by The

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni jambo jema na la kuigwa. Kwenye siasa mfanye siasa, kwenye shughuli za maendeleo tuungane kwa pamoja.
 
Waziri kivuli wa mambo ya ndani na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mh.Godbless Lema akiwa na Waziri wa Mambo ya ndani Mhe.Mwigulu Nchemba leo katika uzinduzi wa nyumba za magereza kisongo Arusha.
5e51e0903a55d9c99c72c51ec65acd77.jpg
1a96eb13add0c7dbb6e6beb853e3721d.jpg
41bfd51b6d40de812b76e15e22023b20.jpg
470dd67023ff61d65b0386eeb89f469a.jpg

Hizi ndizo siasa safi lakin kuna watu hawataki hata kusikia ushirikiano huu na hata sijui ni kwa nini kuna fujo huwa zinalazimishwa zitokee
 
Uzi wako umefutwa ikabidi nikusake huku
Mkuu hajakosea

have confidence in someone
to trust someone; to know that someone will be true. I have confidence in you, and I know you will do well. Randy tends not to have confidence in anyone.
See also: confidence , have
McGraw-Hill Dictionary of American Idioms and Phrasal Verbs. 2002 by The

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuu nilikuwa nataka kuchangia nabonyeza send naambiwa sina permission.Duu kweli bora tuendelee kuchangia huku huku kwa chini chini.
 
Back
Top Bottom