Picha: Lema amsindikiza Wema mahakamani leo

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,422
Mmh huu ukaribu sasa umekua wa mwendo kasi kwa kweli, sio kwa mahaba hayo
75205293f482e581d6a8650e39ea1bc3.jpg
 
Ujinga huu!!!!!! Huku ni kukosa muelekeo, mtu katoka mahakaman juzi anajidai aliwamis watoto wake leo yupo dar mahakaman, this is too way tooooooooooooooooooooooo much! Lema stop this.
Akiwa Dar haruhusiwi kwenda kumsindikiza Wema mahakamani au?

Nakuona wewe na Mungu wako mnavyotaka kupasuka kwa hasira za mkizi.
Mahakama imeshawashtukia haina ujinga na nyie tena bado Bunge
 
Mmh huu ukaribu sasa umekua wa mwendo kasi kwa kweli, sio kwa mahaba hayo
75205293f482e581d6a8650e39ea1bc3.jpg
Ulitaka wewe uwe karibu? Kwani umekatazwa? Jitose hanaga noma bibie!! Anyway hata hivyo wewe umeona Lema tu mbona husemi watu wengine. Na hata kama katoka gerezani juzi basi akae tu nyumbani kisa kuwa karibu na mama na watoto? Acha wivu wa kike
 
Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Godbless Jonathan Lema akimsindikiza Mahakamani Miss Tanzania 2006 kamanda Wema Sepetu kwenye kesi yake inaendelea mahakama ya Kisutu leo jijini Dar es Salaam.
tmp_5969-IMG-20170315-WA00401292634739.jpg
 
Ujinga huu!!!!!! Huku ni kukosa muelekeo, mtu katoka mahakaman juzi anajidai aliwamis watoto wake leo yupo dar mahakaman, this is too way tooooooooooooooooooooooo much! Lema stop this.
We Ngumbaro Dar Arusha inachukua muda gani kwa Bombanini zile ? Kalala nao wameenda shule na jioni wakitoka wanamkuta pia
 
Back
Top Bottom