Nshatubu zamani sana siwezi kurudi dhambini.... Sema kuna watu ukiwaona tu huwezi wasahau miaka buku!Mkuu inabidi utubu![]()
Haha sio poa... Halafu karekodi kila kitu.Sema jamaa alitisha sana, dakika 71!
brayani🤣Na kama unamjua huyu fahamu kabisa uhakika wa kwenda mbinguni ni mdogo sana.View attachment 1468540
miaka yote nadhan ni Udom