Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,796
- 48,044
Aliishia kucheka "ujana ujana,sio unaelewa"
Sema kusema ukweli nilishindwa kujizuia(ilibidi nimzingue nilipoona ni mtu wa story),na nahisi alijua kuwa namjua.
kwasababu kuna watu kusema ukweli hautegemei kukutana nao kabisa.
hahaha[emoji23] basi ana moyo mgumu sana, hivi ile mambo ilikuaje ikavuja ? ni yeye alivujisha au