Picha la Kutisha: Huyu ndo Netanyahu?

Picha la Kutisha: Huyu ndo Netanyahu?

Huyu ndo bibi Netanyahu waziri mkuu mpenda vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel?

Mbona kanywea hivi?Mbona kawa hivi hatujamzoea hivi?

Miongoni mwa watu wanaokaribia kufa vibaya ni huyu mzee

Mbona kawa hivi kwani imekuaje?View attachment 3377169View attachment 3377170
Gaidi mkubwa duniani, anakondeana kwa sababu damu za raia wasio na hatia anazomwaga zinamtesa.
 
Humu jamii forums ndo unashuhudia members wanaounga mkono Putin kushambulia Ukraine lkn wanapinga Israel/us kuushambulia Iran

Uvamizi haufai........
 
Huyu ndo bibi Netanyahu waziri mkuu mpenda vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel?

Mbona kanywea hivi?Mbona kawa hivi hatujamzoea hivi?

Miongoni mwa watu wanaokaribia kufa vibaya ni huyu mzee

Mbona kawa hivi kwani imekuaje?View attachment 3377169View attachment 3377170
Ebu onesha picha za Khamenei akikagua maeneo yaliyopigwa na mabomu ya wayahudi.
 
Sura yake imekuwa kama wale wazungu maskini,amekuwa kibabu ndani ya muda mfupi.Sema hau hichi kibabu kilikuwa kinaweka make up sasa kimekosa muda?Maana siyo kwa sura hiyo.
 
Kimewakuta kitu kizito hadi anayemkubali huyu nyata nyau yaani kagame naye mkataba na congo umempeleka jehanamu acha wapite vizazi vyetu viishi kwa amani
 
Kizee kinapenda vita kuliko hata kumstarehesha mkewe. Hapo sura yake, utasema kafumaniwa ukweni 😅😅😅😅😅😅
Jamaa inaonekana ni mtu wa pombe kali na bangi kwa mstari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom