Umeanza kumsikia lini?Huyu ndo bibi Netanyahu waziri mkuu mpenda vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel?
Mbona kanywea hivi?Mbona kawa hivi hatujamzoea hivi?
Miongoni mwa watu wanaokaribia kufa vibaya ni huyu mzee
Mbona kawa hivi kwani imekuaje?View attachment 3377169View attachment 3377170
Wiki tu kazeeka zaidi,Yuko rafu..halali pazuriHuyu ndo bibi Netanyahu waziri mkuu mpenda vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel?
Mbona kanywea hivi?Mbona kawa hivi hatujamzoea hivi?
Miongoni mwa watu wanaokaribia kufa vibaya ni huyu mzee
Mbona kawa hivi kwani imekuaje?View attachment 3377169View attachment 3377170
Jamaa sasa hivi anaishi shimoni kama panya. Hali, haogi wala halali. Kila anapokaa anahisi Ayatollah atamuangushia kitu kizito kichwani kwake. Hata ingekuwa wewe ungeisha na kuzeeka kwa wiki moja tu mkuu.
Hapo vita ina week 1 tu. Sasa ikifika mwezi, miezi, mwaka, miaka kama ile ya Ukraine si ndo tutamkuta amejifia ndani peke yake. Anashindwa ukakamavu hata na Zelenks wa Ukraine japo husahau kuchana nywele.

Umeweka avatar ya ayatollah,halafu unajifanya neta kapata tatizo gani,Huyu ndo bibi Netanyahu waziri mkuu mpenda vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel?
Mbona kanywea hivi?Mbona kawa hivi hatujamzoea hivi?
Miongoni mwa watu wanaokaribia kufa vibaya ni huyu mzee
Mbona kawa hivi kwani imekuaje?View attachment 3377169View attachment 3377170
I like his boldness. Ameenda mpaka eneo hatarishi , kweli huyu mwamba.Huyu ndo bibi Netanyahu waziri mkuu mpenda vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel?
Mbona kanywea hivi?Mbona kawa hivi hatujamzoea hivi?
Miongoni mwa watu wanaokaribia kufa vibaya ni huyu mzee
Mbona kawa hivi kwani imekuaje?View attachment 3377169View attachment 3377170
Mtoto wa juzi huyo anafikili ana umri sana na yeye.Umeanza kumsikia lini?