Picha la Abubakar Shekau na Boko Haram linaendelea

Picha la Abubakar Shekau na Boko Haram linaendelea

yorkshire

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2016
Posts
2,532
Reaction score
3,177
Wazazi, walezi ,jamii na serikali kwa ujumla tunapaswa kuwa makini sana na mienendo ya watoto wetu pia serikali ijitahidi sana kuwaajiri raia wake au kuwapa nyenzo za kuweza kujikimu kimaisha ili wasije kuangukia mikononi mwa makundi haramu ya wapiganaji

Wao huchukua watoto wangali wadogo sana na kuwaingiza kwenye makundi yao ya kihalifu ...fuatana na hii habari kujua zaidi nini kinaendelea baada ya kusadikika Shekau ameuawa na ISWAP

Screenshot_20210522-122332.jpg
Screenshot_20210522-122344.jpg
Screenshot_20210522-122354.jpg
Screenshot_20210522-122405.jpg
Screenshot_20210522-122405.jpg
Screenshot_20210522-122415.jpg
Screenshot_20210522-122426.jpg
Screenshot_20210522-122436.jpg
Screenshot_20210522-122448.jpg
Screenshot_20210522-122459.jpg
Screenshot_20210522-122510.jpg
Screenshot_20210522-122531.jpg
 
Magaid weng wakishambuliwa na serekali kwenye machimbo yao huwa wanakaa kimya bila kujibu hata taarifa za kuuwawa zikiwa siyo za kwel huwa hawakanushi kwakua serekal nao wanatumia mbinu hiyo ili kujua Kama kweli kafa bahati mbaya muda wa kuja kuthibitisha kuwa yuko hai anaweza akapiga tukio la hatari zaid ya mwanzo
 
Wazazi, walezi ,jamii na serikali kwa ujumla tunapaswa kuwa makini sana na mienendo ya watoto wetu pia serikali ijitahidi sana kuwaajiri raia wake au kuwapa nyenzo za kuweza kujikimu kimaisha ili wasije kuangukia mikononi mwa makundi haramu ya wapiganaji

Wao huchukua watoto wangali wadogo sana na kuwaingiza kwenye makundi yao ya kihalifu ...fuatana na hii habari kujua zaidi nini kinaendelea baada ya kusadikika Shekau ameuawa na ISWAP

PLZ MODERATORS acheni mambo yenu ya kufuta nyuzi hovyo na ndio maana nilisema INASADIKIKA SHEKAU AMEUAWA nyie mliufuta View attachment 1793840View attachment 1793841View attachment 1793842View attachment 1793843View attachment 1793844View attachment 1793845View attachment 1793847View attachment 1793852View attachment 1793853View attachment 1793854View attachment 1793855View attachment 1793856
Mwamba mmoja alikufa mwezi March a politicak death in TZ, mwamba mwingine anakufa kivita mei 19.
Mwamba amesimbua sana Afrika magharibi, pamoja na ukubwa wa Nigeria na Jeshi lenyte nguvu barani Afrika huyo mwamba walimshindwa.

Je ataibuka mwamba gani tena huko Afrika magharibi.
 
Nigeria wangeweza kudhibiti hawa zamani ila ni very corrupt government
Habari za wakati ule Jeshi lilipoomba silaha na fedha nyingi zikaidhinishwa yaliyotokea tuliyasikia

Hela zote wakuu wa jeshi waligawana mpaka za mizinga na Helicopters
Fuatilia habari zao Mkuu wa majeshi na wenzake wamefariki kwenye ajali ya ndege
Cha ajabu wengi wamefurahia Why?
 
Hawa wahuni wanasumbua nigeria, Cameroon na nchi jirani zote.Wamejifichia kwenye dini Ili kupata wajinga wasiojua dini.
 
Back
Top Bottom