Kweli kila kilichokuwa na mwanzo kina mwisho ,huyu jamaa namkalisha saizi

py thon

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
2,471
4,424
169449a5e9ff708915f10c05e13c48cc.jpg

9c00a559c3daeae24720eb25d644e082.jpg

47db275fa13e11b84829a83ba7e98d5f.jpg

Kipande cha mtu enzi hizo

a4fe4370e5f83b4df5daa9fafdcf37c7.jpg

23812aa6442e4a4d2f83582780dfb37f.jpg

394149cdc9cba66092c28e2d52ba5df4.jpg

marighaya ,kwishney ,finito ,kwisha hata mimi nampiga saizi
 
Hapo kilichoisha ni nguvu ya kitendo..
Lakn mapigo yote yapo na yanajirudia kila Mara kichwan mwake.

Kwa ufupi akili na moyo vipo active lakn mwili unagoma kutekeleza kile moyo na akili inataka
Mkuu umeelezea vizuri sana..thanks
 
169449a5e9ff708915f10c05e13c48cc.jpg

9c00a559c3daeae24720eb25d644e082.jpg

47db275fa13e11b84829a83ba7e98d5f.jpg

Kipande cha mtu enzi hizo

a4fe4370e5f83b4df5daa9fafdcf37c7.jpg

23812aa6442e4a4d2f83582780dfb37f.jpg

394149cdc9cba66092c28e2d52ba5df4.jpg

marighaya ,kwishney ,finito ,kwisha hata mimi nampiga saizi
Never ever fvck around with martial arts oldies, watakuvunja mifupa yote, the older they get the wiser they become the efficient bonecrasher they be, yaani hapotezi muda kurudhiana ngumi, anajua akipiga pigo moja tu kwa power kiasi fulani eneo fulani basi kamaliza kazi, tena anaweza akakutega, anakupiga sasa hivi wewe unajipa moyo hujaumia kumbe panakuja kukuuma vibaya sana baada ya saa moja yeye keshaondoka zake!
 
:) :) ulishawahi kutana na kipigo hadi ukipelekwa hospital unaambiwa huyu mgonjwa mmemchelewesha mngemleta jana!, kumbe kipigo cha dakika chache zilizopita!?, sasa we chokoza watu kama hao
 
Hapo kilichoisha ni nguvu ya kitendo..
Lakn mapigo yote yapo na yanajirudia kila Mara kichwan mwake.

Kwa ufupi akili na moyo vipo active lakn mwili unagoma kutekeleza kile moyo na akili inataka
safi sana,
 
Unataka kuuawa uwape watu kesi za kijinga, jidanganye na hizo bange bila kula
 
Never ever fvck around with martial arts oldies, watakuvunja mifupa yote, the older they get the wiser they become the efficient bonecrasher they be, yaani hapotezi muda kurudhiana ngumi, anajua akipiga pigo moja tu kwa power kiasi fulani eneo fulani basi kamaliza kazi, tena anaweza akakutega, anakupiga sasa hivi wewe unajipa moyo hujaumia kumbe panakuja kukuuma vibaya sana baada ya saa moja yeye keshaondoka zake!
watu huwa wana dharau sana wanadhani uzee ndio mwisho wakilakitu,mzee wangu alicheza sana boxing enzi za JKT miaka yao nakumbuka kuna junk mmoja alikuwa mbishi sana jirani yetu alafu mbabe anajulikana kijijini alikuwa mzurumati sana hasa aridhi na ukileta za kuleta anakuchimbua kweli,sasa kunasiku alimessup kwa mzee unaambia alipigwa pigo takatifu moja jamaa alilia kama mtoto na kukimbiliwa chooni kwenda kunya,mimi nilisimuliwa sikuwepo nilikuwa shule mashuhuda waliokuwepo wanakwambia waliona mzee kamfinya jamaa mbavu tu
 
Back
Top Bottom