Mkuu umeelezea vizuri sana..thanksHapo kilichoisha ni nguvu ya kitendo..
Lakn mapigo yote yapo na yanajirudia kila Mara kichwan mwake.
Kwa ufupi akili na moyo vipo active lakn mwili unagoma kutekeleza kile moyo na akili inataka
Never ever fvck around with martial arts oldies, watakuvunja mifupa yote, the older they get the wiser they become the efficient bonecrasher they be, yaani hapotezi muda kurudhiana ngumi, anajua akipiga pigo moja tu kwa power kiasi fulani eneo fulani basi kamaliza kazi, tena anaweza akakutega, anakupiga sasa hivi wewe unajipa moyo hujaumia kumbe panakuja kukuuma vibaya sana baada ya saa moja yeye keshaondoka zake!
Kipande cha mtu enzi hizo
marighaya ,kwishney ,finito ,kwisha hata mimi nampiga saizi
usije ukathubutu kwasababu jamaa ana Chi-power utajikuta unapiga mayowe kama mpambe wa Lipumba alivyokatwa breki ya mguu mmoja.
safi sana,Hapo kilichoisha ni nguvu ya kitendo..
Lakn mapigo yote yapo na yanajirudia kila Mara kichwan mwake.
Kwa ufupi akili na moyo vipo active lakn mwili unagoma kutekeleza kile moyo na akili inataka
watu huwa wana dharau sana wanadhani uzee ndio mwisho wakilakitu,mzee wangu alicheza sana boxing enzi za JKT miaka yao nakumbuka kuna junk mmoja alikuwa mbishi sana jirani yetu alafu mbabe anajulikana kijijini alikuwa mzurumati sana hasa aridhi na ukileta za kuleta anakuchimbua kweli,sasa kunasiku alimessup kwa mzee unaambia alipigwa pigo takatifu moja jamaa alilia kama mtoto na kukimbiliwa chooni kwenda kunya,mimi nilisimuliwa sikuwepo nilikuwa shule mashuhuda waliokuwepo wanakwambia waliona mzee kamfinya jamaa mbavu tuNever ever fvck around with martial arts oldies, watakuvunja mifupa yote, the older they get the wiser they become the efficient bonecrasher they be, yaani hapotezi muda kurudhiana ngumi, anajua akipiga pigo moja tu kwa power kiasi fulani eneo fulani basi kamaliza kazi, tena anaweza akakutega, anakupiga sasa hivi wewe unajipa moyo hujaumia kumbe panakuja kukuuma vibaya sana baada ya saa moja yeye keshaondoka zake!