mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Ndege hii itamezwa kama walivyomeza viwanja vya Drive in vya michezo na kuuza baadaye kwa Oil com, oilcom akaamishwa na kupewa ZANTEL,
Hiyo ni ile Fokker, ya zamani. Nadhani usajili wake umebadilishwa. Ila hiyo mpya, Gulfstream G550, ina usajili wa 5H-ONE.
Hii hapa 5H-ONE - Tanzania - Government Gulfstream Aerospace Gulfstream V, V-SP, G500, G550 at Hamburg - Fuhlsbüttel | ID 26398 | Airplane-Pictures.net
5H ni country code ya Tanzania yaani Five Hotel, then CCM kwa lugha za anga (navigation) ni Charlie Charlie Mike na s Siyo Chama Cha Mapinduzi!
Please I kindly request you to understand that it is them(CCM and MAFISADI and their government) who make me hate themunaweza ukaomba reg unayotaka wewe.......ila utalipa zaidi ya ile ambayo TCAA wangekupa wao.......
inawezekana........
View attachment 78763
anatumia hii
5H ni country code ya Tanzania yaani Five Hotel, then CCM kwa lugha za anga (navigation) ni Charlie Charlie Mike na s Siyo Chama Cha Mapinduzi!
Hii ndege itakuja kua kama Viwanja vyetu vya Ally Hassan Mwinyi-Tabora,
Majimaji-Songea, n.k
Vituo vya kulaza magari vyenye matawi ya CCM, majengo mbalimbali.
Navyo vilianza hivihivi.
Babu na Baba zetu ambao hawakua wanachama wa chama chochote walichangishwa kujengwa haya majengo, eti nayo ni ya CCMabwepande.
CCM ikiondoka Madarakani inaweza ikasema hii ndege ni Mali yake; REG # 5H-CCM
sasa hiyo ya kwanza kwenye post ni ipi ? Ambayo ni 5H-CCM achana na Gulfstream Aerospace Gulfstream V, V-SP, G500, G550 ndio 5H-ONE
UMENIKUMBUSHA,hata viwanja vya michezo wamevichukua,lakini vilipaswa kurudishwa Serikalini,kwani ni wananchi wote walichangishwa.
Viwanja wakivirudisha Serikalini,vitatunzwa vizuri na kiwango katika michezo kitapanda.!!!![/QU
nyie kaeni na CHARLIE CHARLIE MIKE yenu but 2015 CDM wakichukua nchi CCM watasema hiyo ndege ni yao na waliisha i register kwa jina la chama...hawa jamaa hawaamininki kabisa..zamani viwanja vilikua vya serikali, vyama vingi vilipoanza tu wakabadilika na kudai ni vya ccm. kimsingi ibadilishwe iyo reg. i think $300 si kikwazo kama iyo 5H-CCM
Fanyeni mchezo tu msije mkashangaa kile kiwanja cha Ikulu pale ni mali ya CCM!