PICHA: Kwanini Ndege ya Serikali inayombeba RAIS in registration # 5H-CCM kwanini CCM

Mkuu.
Hahahaha nimecheka ile mbaya! Hebu ongea ukweli sasa.
Ndio ukweli wenyewe kiongozi, Navigation language A,B, C ni sawa na Alpha, Bravo, Charlie D= Delta, E =Echo,

Nakuwekea hapo chini mkuu
AAlpha
BBravo
CCharlie
DDelta
EEcho
FFoxtrot
GGolf
HHotel
IIndia
JJuliet
KKilo
LLima
MMike
NNovember
OOscar
PPapa
QQuebec
RRomeo
SSierra
TTango
UUniform
VVictor
WWhiskey
XX-ray
YYankee
ZZulu
 
Hapana mkuu, sio kupoteza mada. Serikali ina ndege mbili 5H-CCM na 5H-ONE. Hii 5H-CCM ni ya siku nyingi na ndio ilikuwa sababu ya kina Mramba kununua ndege mpya kwa kisingizio rais hawezi kutumia ndege kukuuu. Ndipo wakanunua hii mpya 5H-ONE!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom