PICHA: Kwanini Ndege ya Serikali inayombeba RAIS in registration # 5H-CCM kwanini CCM

Ndege hii itamezwa kama walivyomeza viwanja vya Drive in vya michezo na kuuza baadaye kwa Oil com, oilcom akaamishwa na kupewa ZANTEL,
 
Hiyo ni ile Fokker, ya zamani. Nadhani usajili wake umebadilishwa. Ila hiyo mpya, Gulfstream G550, ina usajili wa 5H-ONE.

Hii hapa 5H-ONE - Tanzania - Government Gulfstream Aerospace Gulfstream V, V-SP, G500, G550 at Hamburg - Fuhlsbüttel | ID 26398 | Airplane-Pictures.net

mbona ndege halisi yaGulfstream Aerospace Gulfstream V, V-SP, G500, G550 ambayo ni H5-ONE sio hiyo ya hapo juu ? Maana hii inadirisha 7 yaani Gulfstream Aerospace Gulfstream V, V-SP, G500, G550 ! Na hiyo kwenye picha hapo juu inayosemekana ni 5H-CCM ni ipi mbona yenyewe inadirisha zaidi ya 20? Usije kuta ni kweli wameanza kusogeza tar tibu baadae waseme ilikuwa ya ccm wakiikodishia serikali kwa mkataba!
 
1496783.jpg
anatumia hii
 
unaweza ukaomba reg unayotaka wewe.......ila utalipa zaidi ya ile ambayo TCAA wangekupa wao.......
inawezekana........
Please I kindly request you to understand that it is them(CCM and MAFISADI and their government) who make me hate them
 
Hii ndege itakuja kua kama Viwanja vyetu vya Ally Hassan Mwinyi-Tabora,
Majimaji-Songea, n.k
Vituo vya kulaza magari vyenye matawi ya CCM, majengo mbalimbali.
Navyo vilianza hivihivi.

Babu na Baba zetu ambao hawakua wanachama wa chama chochote walichangishwa kujengwa haya majengo, eti nayo ni ya CCMabwepande.

inakera sana
 
Hii huenda ikawa ni ninyingine kama vile boeng au ni ya ATC wameamua kupiga rangi na kuitafutia gate la kuifanya ya ccm!
 
UMENIKUMBUSHA,hata viwanja vya michezo wamevichukua,lakini vilipaswa kurudishwa Serikalini,kwani ni wananchi wote walichangishwa.

Viwanja wakivirudisha Serikalini,vitatunzwa vizuri na kiwango katika michezo kitapanda.!!!!
 
sasa hiyo ya kwanza kwenye post ni ipi ? Ambayo ni 5H-CCM achana na Gulfstream Aerospace Gulfstream V, V-SP, G500, G550 ndio 5H-ONE

Hiyo ni moja ya ndege za serikali mkuu, ziko chini ya wakala wa ndege za serikali. Na ilikuwa ya zamani kabla ya hii mpya aliyoanza kuitumia Mkapa.
 
Na mm niliyechanga ktk m4c bila kuwa mwana cdm kwaajili ya iman yangu kwa juliana je mtanrudishia pesa angu baada ya kumfukuza cdm mana mi pia cna chana?
UMENIKUMBUSHA,hata viwanja vya michezo wamevichukua,lakini vilipaswa kurudishwa Serikalini,kwani ni wananchi wote walichangishwa.

Viwanja wakivirudisha Serikalini,vitatunzwa vizuri na kiwango katika michezo kitapanda.!!!![/QU
 
nyie kaeni na CHARLIE CHARLIE MIKE yenu but 2015 CDM wakichukua nchi CCM watasema hiyo ndege ni yao na waliisha i register kwa jina la chama...hawa jamaa hawaamininki kabisa..zamani viwanja vilikua vya serikali, vyama vingi vilipoanza tu wakabadilika na kudai ni vya ccm. kimsingi ibadilishwe iyo reg. i think $300 si kikwazo kama iyo 5H-CCM

Hilo nalo neno
 
Nilipata kusoma hapa JF kwamba kuna ndege CCM ya Nyerere walipewa na moja ya maswahiba wao ila Nyerere ikaitoa kwa serikali.....

Iwapo tunaweza kubatilisha maamuzi ya viongozi waliotangulia basi haitoshangaza siku Mwigulu Nchemba atapoidai hiyo ndege
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom