PICHA: Kwanini Ndege ya Serikali inayombeba RAIS in registration # 5H-CCM kwanini CCM

Haina maana kwamba inamilikiwa na CCM,bali hawa watakuwa tu walirequest kwa sababu vichwa vyao haviwazi vitu vingine zaidi ya CCM! Hiyo ni registration kama zifuatavyo:
5H-POA,5H-FIA,5H-CAT!!
 
Sidhani kama kabla ya Mkapa serikali ilikuwa na ndege ya size hiyo yenye jet engine kama hiyo iliyoonyeshwa katika picha. Nachokumbuka ndege za serikali size hiyo zilikuwa za piston engine.
 
Hii ndege itakuja kua kama Viwanja vyetu vya Ally Hassan Mwinyi-Tabora,
Majimaji-Songea, n.k
Vituo vya kulaza magari vyenye matawi ya CCM, majengo mbalimbali.
Navyo vilianza hivihivi.

Babu na Baba zetu ambao hawakua wanachama wa chama chochote walichangishwa kujengwa haya majengo, eti nayo ni ya CCMabwepande.
 
Labda wajuzi wa usajili wa vyombo vya anga watusaidie juu ya usajili huo hasa neno CCM,twajua Tanzania usajili wa ndege ni 5H- ,ila CCM hapo sijaelewa

5H ni country code ya Tanzania yaani Five Hotel, then CCM kwa lugha za anga (navigation) ni Charlie Charlie Mike na s Siyo Chama Cha Mapinduzi!
 
Maana ya hii ndege ni Chale Chale Mike. Huwezi kuipa code name kama ndege ya kawaida. Hii ndege ipo toka 1978 ni Fokker F28. Kuna nyingine Fokker 50 na Hiyo Gulfstream G550 and they do not belong to CCM. Kuna government agency (Tanzania Flight Agency) which operates these planes. Kama una mpunga wa kutosha unaweza kukodisha.

5H-CCM (cn 11137) Fokker F28 aka Chale Chale Mike
5H-TGF (cn 20231) Fokker F50
5H-ONE (cn 5039) Gulfsteam G550 aka Tanzania 1
Umejibu maswali ya Njowepo. Astonishingly, hizi ndege zilizonunuliwa baadaye na Mwinyi na Mkapa ni mbovu kuliko hiyo ya 1978. Kuna harufu ya ufisadi kwenye ununuzi wa hizi ndege zingine.
 
nyie kaeni na CHARLIE CHARLIE MIKE yenu but 2015 CDM wakichukua nchi CCM watasema hiyo ndege ni yao na waliisha i register kwa jina la chama...hawa jamaa hawaamininki kabisa..zamani viwanja vilikua vya serikali, vyama vingi vilipoanza tu wakabadilika na kudai ni vya ccm. kimsingi ibadilishwe iyo reg. i think $300 si kikwazo kama iyo 5H-CCM
 
avatar6199_3.gif
 
Viwanja vyote vya soka vinavyomilikiwa na ccm vimenunuliwa kutoka wapi?

Tuliokuwepo enzi hizo tukichangishwa kwa lazima kujenga hizo stadia nk.......na ni kipindi cha sherehe kama Mei Mosi(Jamhuri Stadium Morogoro 1983).....Sabasaba (CCM Kirumba 1980).......Mei Mosi (Milambo Tabora 1988).....nk nk nk
 
utawala wa nchi na mamlaka ya kuamua kitu hutoka kwa chama tawala
Thats is the definition of the ruling party
 
Naomba mnijuze kwa ufasaha, mie nilidhani serikali ina ndege moja tu ya rais kumbe zipo nyingi? Na ile ya Mramba ndiyo hiyo hapo?
 
Jaman huo n usajiri2 kam STJ, TZF nk. Mbona kuna magari ya wa2 binafsi yana namba za usajil wa T 268 CCM???
 
Jaman huo n usajiri2 kam STJ, TZF nk. Mbona kuna magari ya wa2 binafsi yana namba za usajil wa T 268 CCM???.....

Hawa wanachadema ni low thinkers maskini! Tayari CCM imeshaanza kuwatisha, imekuwa kama freenason mana kila kitu freenason, sasa ivi kila watakaloliona ni CCM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom