Picha kutoka kwa Masoud Kipanya

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,713
IMG_0783.jpg
 
Picha ya Kwanza ,huyo mnyama Ni kiongozi wakati anaomba kupata madaraka,anawahadaa wananchi na vizawadi Hadi anawabeba,

Picha ya pili Ni kiongozi Alisha chaguliwa inabidi mabosi wake/ wananchi wanakuwa WANYONGE na inabidi wao ndiyo wawe watumwa wa kumbeba na anageuka kuwa mfalume.
 
Hii Ni kutokana na wewe,lakini masoud hakumaanisha hivyo,maana ya hizo picha ni kuwa biniadamu hawana wema,chochote utakacho kifanya lazima waseme/washangae au wakukosoe.
 
Hii Ni kutokana na wewe,lakini masoud hakumaanisha hivyo,maana ya hizo picha ni kuwa biniadamu hawana wema,chochote utakacho kifanya lazima waseme/washangae au wakukosoe.
Hiyo umemaanisha wewe mm nadhani alimaanisha haki sawa nibebe na mm ntakubeba 50%50
 
Hizo rangi za nguo alizovaa jamaa zina mwelekeo wa chama chochote au ni coicidence tu?
 
Hii Ni kutokana na wewe,lakini masoud hakumaanisha hivyo,maana ya hizo picha ni kuwa biniadamu hawana wema,chochote utakacho kifanya lazima waseme/washangae au wakukosoe.
Nakuunga mkono, upo sahihi kabisa na tafsiri yako hii. Inaonekana huyo mtu mwenye mnyama aliamua kushuka mgongoni mwa huyo mnyama baada ya kumuona mwananchi huyo anamshangaa. Akaona labda anakosea, ngoja sasa ambebe huyo mnyama. Ajabu ni kuwa baada ya kufanya hivyo yule mtu anaendelea kushangaa (kukosoa) tena, jambo ambalo limemshangaza na kumtafakarisha huyo (uwepo alama ?!) mtu mwenye mnyama.....ni km anajiuliza 'sasa nifanye nini?!!!!'

Funzo:
Fanya kile unachoona kipo sahihi bila kumdhuru mtu, binadamu wapo kwa ajili ya kukosoa, kuponda na kuongea tu.....hilo litaenda hivyo hata ufanye nini! Hongera kwa the late jpm, ye alifanya mambo kivyake; alipoyola kivyake na kuyapatia kivyake.

Mama Samia nae nampa hongera, inaonekana nae amejifunza kutoka jpm, anatenda mambo kivyake bila kujali maneno ya nyodo ya wamchukiao. Wanamwita najina mengi tu yenye kukera na kuficha kila zuri lake lakini ye anasonga tu. Safi sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom