MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Kwani Mizunguko ya Kinana na Nape Kuanzia Mwaka 2013 mpaka sasa imesaidia nn?. Cdm wanacha kujivunia wamepata Mafanikio Mengi sana. Kuna Sehemu nyingi walikuwa hawana Serikali za Mitaa lakini Leo wamepata. Mi nadhani mpaka leo Cdm wamefaidika zaidi Kuliko CCM. Maana CCM imepoteza sana Kondoo wake.
asante kwa kulitambua hilo bila shaka wewe ni mtu muelewa sana,sasa kwa kua umetambua hilo unaonaje ukaanza kulikemea hilo kwa chdm?mana chama kina eneza huo udin na kama hujui ue unaenda kanisan Mara moja moja
Kamanda unapaswa kuelewa kuwa Kinana na Nape hawapiti kwa wananchi ili kupiga porojo. Bali kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama. Ambao umetekelezwa kwa asilimia kubwa. Ndio maana unawaona wakizindua na kushiriki kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo.
Safi MUSAALAN km ni hivyo kwann sasa Cdm ikapata vitongoji vingi na Serikali za Mitaa nyingi km CCM imewafanyia Maendeleo makubwa?. Jaman Vjana tuamke tuwache kudanganyika. Yaani CCM wamefanya makubwa kwa wananchi halafu wananchi haohao wanaikataa CCM wanachagua Chama ambacho hakija Fanya chochote?. Mwambieni Kinana Apache Maigizo. Atakipeleka CCM Kuzimu. Anafanya maigizo Uchaguzi UK IJA Chali.Serrikali Za Mitaa imeonyesha.
Mkuu kwani CHADEMA ilishinda serikali za mitaa kwa asilimia ngapi?
Na CCM ilishinda kwa asilimia ngapi? Tuanzie hapo kwanza.
Hakuna kulala mpaka walale wao
wachaga mnapongezana,kifo chenu mtakiona soon ndo mtajua faida za hizo operation lukuki
M4C, Delete CCM, operation sangara,
...zote hizi zimepita hata hii TIGI TIGI nayo pia itapita...
najua unatafutia wanao riziki ya kila siku kupitia vioperesheni uchwara.
Kamanda unapaswa kuelewa kuwa Kinana na Nape hawapiti kwa wananchi ili kupiga porojo. Bali kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama. Ambao umetekelezwa kwa asilimia kubwa. Ndio maana unawaona wakizindua na kushiriki kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo.
Kamanda Mawazo naongea na marafiki zangu Kanda ya ziwa kiukweli wana kukubali mno naskia kuna majimbo matatu wanataka uwe Mbunge kwenye majimbo yako
Hapa ni Sengerema kwa Ngereja
Mkuu kwani CHADEMA ilishinda serikali za mitaa kwa asilimia ngapi?
Na CCM ilishinda kwa asilimia ngapi? Tuanzie hapo kwanza.
Tatizo sio kushinda kwa asilimia ngapi hapo ndipo Maccm mnapojidanganya kuwa chama chenu kinapendwa wakati wananchi wanazidi kuichukia. Nikupe Ukweli toka nimezaliwa nlikuwa sijawhi kuona sehemu ninapoishi kunaserikali ya Mtaa ya CDM. Lakini Leo chama ambacho mnasema kinakufa kina Huku Segerea , Kinyrez wameshinda sehemu nyingi tu.. kwahio ukiona hivyo ni kwamba CDM imeimprove na CCM imeshuka. CCM walikuwa 900 wamebakiwa na 600 CDM walikuwa na 50 Leo wana 400 nani Amegain hapo?. Ila akili zenu Zna fikiria asilimia. Bogus.
Kwani jamani ile operation M4C na Sangara ziliishia wapi tena!!!?
Kwani jamani ile operation M4C na Sangara ziliishia wapi tena!!!?