Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

Joined
Sep 10, 2013
Posts
335
Reaction score
478
Hapa ni Sengerema kwa Ngereja
 

Attachments

  • 1428026114656.jpg
    1428026114656.jpg
    72.5 KB · Views: 4,549
  • 1428026151128.jpg
    1428026151128.jpg
    59.5 KB · Views: 2,820
  • 1428026241587.jpg
    1428026241587.jpg
    60.5 KB · Views: 2,641
  • 1428026278210.jpg
    1428026278210.jpg
    61.2 KB · Views: 2,741
Asante sana molemo,binafsi naona muda umetuishia na speed yetu ni ndogo,mlima ni mrefu lakini speed ya kinyonga tuongezeni bidii
 
Asante sana molemo,binafsi naona muda umetuishia na speed yetu ni ndogo,mlima ni mrefu lakini speed ya kinyonga tuongezeni bidii

Tuko Pamoja sana Kamanda.Mnafanya kazi ya kutukuka huko kanda ya ziwa.

Hamasisheni wananchi hasa vijana kujitokeza kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura muda ukiwadia.
 
Huyu ni Kamanda Tabasamu tuko naye kwenye paranja hii

Tukiidhibiti vizuri Kanda ya ziwa Rais wa Ukawa atashinda saa nne asubuhi.Kiidadi tuna wapiga kura wengi huko kuliko kanda yoyote katika nchi hii.

Waambie vijana salama yao ni kupiga kura kwa wingi na siyo kushabikia tu mikutano bali silaha kubwa waliyo nayo ni kupiga kura siku ya uchaguzi na kulinda kura.
 
Peoplesssssssssssssssssss Powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Safi sana...it is the time to get rid of Tanzanians from the gangsters....they will smash us in any way but am sure we gonna win the battle.
 
Hongera sana Alphonce Mawazo! Mnafanya kazi ya Mungu na hakika mkimaliza kazi, mtavalishwa taji!
 
Last edited by a moderator:
Magamba yalivyo na kiwewe tutasikia tena miswada miwili kwa hatj ya dhalura ...thibiti wanaharakati (Alphonse) na tigi tigi operation. Kwa wingi wao bungeni utasikia speaker akiwahoji ....wanaoafiki tuseme ndio....wote watasema ndiooooooooooo...

Yanaudhi.....wanayoyachagua wanaudhi!
 
Tunashukuru kwa kujitoa kwenu na tunawaunga mkono vibarua haviruhusu ispokuwa tutaunga mkono kwa michango yetu once thanks for superb job
 
Hongera kamanda kwa kazi nzuri hakika mambo yakienda hivi ushindi utapatikana mapema sana.
 
Kweli arusha ni chuo kijana nishida anawapa watu elim ya uraia sana Mungu akubariki mkuu
 
Back
Top Bottom