APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,048
- 8,628
Tupo mkuu....................Hata huku kwetu wapo sema hawaja pata exposure
Tupo mkuu....................Hata huku kwetu wapo sema hawaja pata exposure
Ahsante. Huyo dogo kama ana kipaji hicho ni vizuri sana kumtafutia tu vifaa. Lakini akitaka kuwa zaidi ya hapo ndo anaweza kuenda shule. Kuna vyuo kama Bagamoyo, UDOM na UDSM wanafundisha hiyo course... nasikia vipo vya VETA pia lkn sivijui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo karibu na Dar kuna hawa jamaa wana vifaa vingi na wana ufahamu na hayo masuala.Naweza pata wapi vifaa mfano? Na pia aina gani? sasa hivi anatumia tu penseli lakini anajitahidi sana
Kama upo karibu na Dar kuna hawa jamaa wana vifaa vingi na wana ufahamu na hayo masuala.
Husseini Emporium:The Art Shop (@theartshoptz) • Instagram photos and videos
Kama ni dodoma au jirani kuna VICTORY BOOKSHOP. Kwa mikoa mingine unaweza kuvipata ktk stationery kubwa. Pia angalia brand ya hivyo vifaa...vingi vya kichina sio vizuri... kuna brand nzuri km
FABER CASTELL, PRISMACOLOR,
DERWENT,
CARAN D'ACHE,
STAEDTLER,
STABILO.
Kwasasa kama anatumia penseli asitumie za kawaida tu. Atafute HB original ( zina number zake..mimi ninazo HB, 2B, 3B,4B, na 6B) kampuni ya NATARAJ. Hizi zinasaidia ktk shading kwamaana zimetofautiana ktk ukoleaji (weusi).
Kwa sehemu ya kuchorea kuna karatasi, manila, kibao na canvas, ukutani. Aanzie ktk karatasi na manila. Akishaiva atahamia ktk vibao na canvas na ukuta.
Kuna vifaa vingi sana vinatumika ktk kuchorea siwez kuviorodhesha vyote. Ni vingi mnoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuuAsante sana mkuu kwa ushauri wako, nakutakia kila lakheri na hongera kwa kazi nzuri.
Muhuni huyu katumia Selfie - Enstyle appMmmh kuna kitu umefanya hapa. Haijachorwa na mkono hii.