PICHA: Kuna watu wa talent za uchoraji usiambiwe. Jionee

Huyu Jamaa ni hatareeee....Bongo hakuna hii Number aisee.. mama Ndalichako amlete. Atucholee vitabu vya Nursery to form 6 aisee..

Hizi picha nimepiga sn...kuna picha au hakuna? Kumbe dawa ni kukalili page no tu!
 
Ukisoma comments hapa utagundua waafrika wengi tulivyo matahaila kamwe hatuna utamaduni Wa kukubali kipawa cha MTU.

Kutokuamini kwako au kuamini kwako hakupunguzi ukweli.
 
Pale ambapo dogo ametoka kuoga na pale ambapo madogo wanaogo ni nouma sana..
 
Back
Top Bottom