PICHA: Kuna watu wa talent za uchoraji usiambiwe. Jionee

Hata bongo wakali wa potrait wapo kibao sema ndo vile unakuta no exposure...........................
 
Ahsante. Huyo dogo kama ana kipaji hicho ni vizuri sana kumtafutia tu vifaa. Lakini akitaka kuwa zaidi ya hapo ndo anaweza kuenda shule. Kuna vyuo kama Bagamoyo, UDOM na UDSM wanafundisha hiyo course... nasikia vipo vya VETA pia lkn sivijui.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naweza pata wapi vifaa mfano? Na pia aina gani? sasa hivi anatumia tu penseli lakini anajitahidi sana
 
Ukiangalia kwa makini picha zake zinafanana na tunazoita tressing inamaana unapiga picha kisha unaiproject na kuichora kwa kufuatisha.
 
Msani Oresegun, uchoraji wake unaendana na hisia
d972ae02d5786ef1d232e87106b19244.jpg
81316c2a12da6db72df281260aa15004.jpg
d8823bb587e7447c1713f8fb2953be3d.jpg
1db449ddd75513d8394d52f7b169abdb.jpg
8b1b087295ef4fc486de71c1b936ac3f.jpg
3693d6df2fd4b3628f172f00ce8df3b8.jpg
c45bc24ede6863e1adf9fe41e02b0e48.jpg
7500ef91bc1af61f6be0b2fafb388f0b.jpg
9d2440079eda2cfef53386627e49cbce.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naweza pata wapi vifaa mfano? Na pia aina gani? sasa hivi anatumia tu penseli lakini anajitahidi sana
Kama upo karibu na Dar kuna hawa jamaa wana vifaa vingi na wana ufahamu na hayo masuala.

https://www.instagram.com/theartshoptz/

Kama ni dodoma au jirani kuna VICTORY BOOKSHOP. Kwa mikoa mingine unaweza kuvipata ktk stationery kubwa. Pia angalia brand ya hivyo vifaa...vingi vya kichina sio vizuri... kuna brand nzuri km
FABER CASTELL, PRISMACOLOR,
DERWENT,
CARAN D'ACHE,
STAEDTLER,
STABILO.

Kwasasa kama anatumia penseli asitumie za kawaida tu. Atafute HB original ( zina number zake..mimi ninazo HB, 2B, 3B,4B, na 6B) kampuni ya NATARAJ. Hizi zinasaidia ktk shading kwamaana zimetofautiana ktk ukoleaji (weusi).

Kwa sehemu ya kuchorea kuna karatasi, manila, kibao na canvas, ukutani. Aanzie ktk karatasi na manila. Akishaiva atahamia ktk vibao na canvas na ukuta.

Kuna vifaa vingi sana vinatumika ktk kuchorea siwez kuviorodhesha vyote. Ni vingi mnoo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama upo karibu na Dar kuna hawa jamaa wana vifaa vingi na wana ufahamu na hayo masuala.

Husseini Emporium:The Art Shop (@theartshoptz) • Instagram photos and videos

Kama ni dodoma au jirani kuna VICTORY BOOKSHOP. Kwa mikoa mingine unaweza kuvipata ktk stationery kubwa. Pia angalia brand ya hivyo vifaa...vingi vya kichina sio vizuri... kuna brand nzuri km
FABER CASTELL, PRISMACOLOR,
DERWENT,
CARAN D'ACHE,
STAEDTLER,
STABILO.

Kwasasa kama anatumia penseli asitumie za kawaida tu. Atafute HB original ( zina number zake..mimi ninazo HB, 2B, 3B,4B, na 6B) kampuni ya NATARAJ. Hizi zinasaidia ktk shading kwamaana zimetofautiana ktk ukoleaji (weusi).

Kwa sehemu ya kuchorea kuna karatasi, manila, kibao na canvas, ukutani. Aanzie ktk karatasi na manila. Akishaiva atahamia ktk vibao na canvas na ukuta.

Kuna vifaa vingi sana vinatumika ktk kuchorea siwez kuviorodhesha vyote. Ni vingi mnoo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Asante sana mkuu kwa ushauri wako, nakutakia kila lakheri na hongera kwa kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom