reymage
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 12,465
- 29,397
never everHivi Mbara anaweza kuwa mbunge na kuwakilisha Zanzibar au Pemba?
never everHivi Mbara anaweza kuwa mbunge na kuwakilisha Zanzibar au Pemba?
Kweli ni wakabila ila kagera umaskini unasababishwa na vitu vingi ila tatizo mama ni kukosa viongozi wenye maonoWatu wengi hawajui,kinachowaumiza wahaya na kufanya mkoa wa Kagera usiendelee ni ukabila.Umaskini wa ule mkoa ni wa kujitakia.Mhaya yuko tayari kuzuia maendeleo kama yanaletwa na kabila lingine.Hali ya umaskini Kagera inatisha haswa vijijini hali ni tete
Ni kweli aende huko kwaoWatu wa Kaskazini hawawezi kusahau walivyonyanyaswa na Wasukuma awamu iliyopita wakiongozwa na Makonda.
Huyo Msukuma Makonda akagombee kwenye majimbo ya usukumani