Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,252
- 24,089
Mambo mengine nikujitoa ufahamu lakini unakuwa unajua ukweli halisi.
Hivi inawezekana vipi mtu aliye zaliwa na kukulia chato awe mbunge wa kisarawe pwani? yaani hata changamoto za watu wa huko hazijui ni hadi aambiwe. Kunatofauti kubwa mno ya mzawa na wakuja! sioni ukabila hapo jamaa alikuwa sahihi sana