landibongo
Member
- Mar 24, 2025
- 47
- 185
Aliyetoa uzi anasema ni kutoka kagera kanda ya ziwa anahoji inawezekana vipi mtu baye sio mchaga akapata uongozi uchagani .
Ameenda mbali anasema kaskazini inapwaya akatolea mfano arusha sakata la gambo na makonda kwamba zio wazawa lakini wanagombea kisa tu wameoa maeneo hayo .
Nyerere alipinga maswala ya ukabila na udini.
Wachaga kweli kuna majimbo wabunge wao sio wachaga mfan jimbo la siha lakini freshi tu hawajahoji
Mbona wachaga wenyewe hawana shida inakuaje wewe unaumia .
stop tribalism,stop kujiona bora