Picha: Kuna mwana Jamiiforums anayefahamu hizi ni nini?

Ni kweli elfu tano,au ndo kaaamua kunipiga .


Alafu
Alafu nikamuuuliza robo anauzaje kasema 15k .
Nimeshituka kweli .
IMG_20230226_185740_698.jpg
 
Almond almond almond kiswahili ni mbegu Gani hizi wabongo bana. Ndio maana nikienda hotel sihitaji menu...naagiza tu ugali nyama..


Wewe Sema hivyo viharage Kwa kiswahili vinaitwaje na vinapatikana wapi
faster ugali nyama
 
Najua Jamiiforums ina watu wengi kutoka mikoa mbalimbali na taasisi zake ,nimeletewa hii zawadi kutoka kwa rafiki yangu akisema ni zawadi kwa watoto wangu.

Nimezionja naona zipo kama karanga vile sijui ninini yeye amenitajia jina la kilugha chao ila kibongo sijui jina na ni aina gani ya mmea .


Shukran

USSR View attachment 2529865
Hata hizi unauliza! Karanga miti(almondi) bei yake kali kuliko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom