Picha: Kuna mwana Jamiiforums anayefahamu hizi ni nini?

Kumbe ndio asili yake.
Umenipa elimu nyengine, nilidhani chimbuko lake ni huku zanzibar
Dar karibu na msikiti wa mtoro kuna mzee zamani akiuza anaitwa Al Qidemy. Ana ujamaa na Qidemy wa Malindi zanzibar pia. Halua nyekundu ipo Mombasa soko la wasomali wauza papa karibu na mtaa wa Digo road na Langoni road.
 
Najua Jamiiforums ina watu wengi kutoka mikoa mbalimbali na taasisi zake ,nimeletewa hii zawadi kutoka kwa rafiki yangu akisema ni zawadi kwa watoto wangu.

Nimezionja naona zipo kama karanga vile sijui ninini yeye amenitajia jina la kilugha chao ila kibongo sijui jina na ni aina gani ya mmea .


Shukran

USSR View attachment 2529865

Ni expensive kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom