Picha: Kuna mwana Jamiiforums anayefahamu hizi ni nini?

Almond kimbia sana na hizo kitu, hazina ladha wala harufu wala taste.
Allergy zote zipo umo
Kwenye ladha umetudangnya tamu sana sema ndio me sikujua first time niliyapiga mengi nikaharisha from there nikawa nayapiga kizungu kama karanga za miambili.
 
Napenda hizi mie
12129663-8376-4A3A-9572-0AC9A5BE36C8.jpeg
 
Almond kimbia sana na hizo kitu, hazina ladha wala harufu wala taste.
Allergy zote zipo umo
Kwa upekuzi wangu nilinunua viwili mia2 ili nivijue ni vinini na vina ladha gani! Unatakiwa kuzila kama kurefresh tu ila ndio umechukua uzile kwa ku enjoy kama karanga au korosho utakua umeyakanyaga! Hiyo yake kahawa, kasusu au chai kama push factor
 
Najua Jamiiforums ina watu wengi kutoka mikoa mbalimbali na taasisi zake ,nimeletewa hii zawadi kutoka kwa rafiki yangu akisema ni zawadi kwa watoto wangu.

Nimezionja naona zipo kama karanga vile sijui ninini yeye amenitajia jina la kilugha chao ila kibongo sijui jina na ni aina gani ya mmea .


Shukran

USSR View attachment 2529865
Juzi nilikula hizi
Hizi ni lozi waweza kula hivi au ukachanganya na uji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom