PICHA: Kumbe Tanzania inauza umeme nje!

PICHA: Kumbe Tanzania inauza umeme nje!

Bibianna

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2025
Posts
400
Reaction score
135
1754310528044.png

===
Akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Kagera amesema Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani humo, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa maji yenye jumla ya MW 221.8 imetekelezwa na hivyo Tanzania kuwa na ziada ya umeme.

Mradi wa Rusumo (Ngara) – MW 80, umekamilika.
Murongo/Kikagati (Kyerwa) – MW 14, umekamilika.
Kakono (Missenyi) – MW 87.8, upo hatua ya upembuzi yakinifu.
Nsongezi (Kyerwa) – MW 40, maandalizi ya awali yanaendelea.

Mafanikio haya yamewezesha Mkoa wa Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa, hivyo kuondokana na utegemezi wa umeme kutoka Uganda na jenereta kama ilivyokuwa awali na sasa umeme unauzwa nje.
 
===
Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa maji yenye jumla ya MW 221.8 imetekelezwa na hivyo kuwa na ziada ya umeme.

Mradi wa Rusumo (Ngara) – MW 80, umekamilika.
Murongo/Kikagati (Kyerwa) – MW 14, umekamilika.
Kakono (Missenyi) – MW 87.8, upo hatua ya upembuzi yakinifu.
Nsongezi (Kyerwa) – MW 40, maandalizi ya awali yanaendelea.

Mafanikio haya yamewezesha Mkoa wa Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa, hivyo kuondokana na utegemezi wa umeme kutoka Uganda na jenereta kama ilivyokuwa awali.
Haya yako vizuri hakuna deni.

Vipi kesi za kihuni za kunyongwa, mafisadi kina Rostam wanaotamba, Tapeli kikwete kwenye kila corridor za Samia na siasa za chuki na utekaji wa kina Chaula??
 
kazi zote zinafanyika
 
View attachment 3431032

===
Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa maji yenye jumla ya MW 221.8 imetekelezwa na hivyo Tanzania kuwa na ziada ya umeme.

Mradi wa Rusumo (Ngara) – MW 80, umekamilika.
Murongo/Kikagati (Kyerwa) – MW 14, umekamilika.
Kakono (Missenyi) – MW 87.8, upo hatua ya upembuzi yakinifu.
Nsongezi (Kyerwa) – MW 40, maandalizi ya awali yanaendelea.

Mafanikio haya yamewezesha Mkoa wa Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa, hivyo kuondokana na utegemezi wa umeme kutoka Uganda na jenereta kama ilivyokuwa awali na sasa tunauza umeme nje.
Hongera nchi yangu Tanzania,
 
Ni nzuri sana
 
We are crawling lakini tutafika tu, at least ndani ya miaka 100. Tutengeneze masoko ya aina nyingi na tu-export more.
 
View attachment 3431032

===
Akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Kagera amesema Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani humo, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa maji yenye jumla ya MW 221.8 imetekelezwa na hivyo Tanzania kuwa na ziada ya umeme.

Mradi wa Rusumo (Ngara) – MW 80, umekamilika.
Murongo/Kikagati (Kyerwa) – MW 14, umekamilika.
Kakono (Missenyi) – MW 87.8, upo hatua ya upembuzi yakinifu.
Nsongezi (Kyerwa) – MW 40, maandalizi ya awali yanaendelea.

Mafanikio haya yamewezesha Mkoa wa Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa, hivyo kuondokana na utegemezi wa umeme kutoka Uganda na jenereta kama ilivyokuwa awali na sasa umeme unauzwa nje.
 
Taarifa ya Maendeleo na Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan

Dar es Salaam, Tanzania – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha sekta mbalimbali za maendeleo nchini kwa kutoa kipaumbele cha juu katika huduma za jamii, uchumi, na uongozi bora wa Serikali. Chini ya uongozi wake, Tanzania imepiga hatua kubwa katika maendeleo endelevu na kukuza ustawi wa wananchi wake.​

Maendeleo ya Uchumi

  • Tanzania imeongeza uwekezaji wa ndani na wa kigeni, na kusukuma ukuaji wa uchumi wa taifa.​
  • Chini ya sera za Rais Samia, bajeti ya maendeleo imesogea mbele katika miradi ya miundombinu, kilimo, afya, na elimu, ikisaidia kuboresha maisha ya wananchi wa kila kona ya nchi.​

Huduma za Jamii

  • Sekta ya afya imeona ongezeko la vituo vya afya na hospitali, ikiwa ni pamoja na ujenzi wa zahanati na vituo vya msingi, ili kufikia huduma karibu na wananchi.​
  • Sekta ya elimu imepata mafanikio makubwa kwa upanuzi wa shule, maboresho ya miundombinu ya shule, na upatikanaji wa vifaa muhimu vya kufundishia.​

Uongozi na Utawala Bora

  • Rais Samia amesisitiza uwazi na uwajibikaji katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo, akihakikisha kila shilingi inayotumika inaleta manufaa kwa wananchi.​
  • Ameendelea kusimamia sera za kidijitali na teknolojia, ili kuongeza uwajibikaji wa Serikali na kupunguza urasimu.​

Diplomasia na Ushirikiano wa Kimataifa

  • Tanzania imeimarisha uhusiano wake na nchi mbalimbali na mashirika ya kimataifa kwa ajili ya kuendeleza biashara, uwekezaji, na ushirikiano wa kibiashara.​
  • Rais Samia pia amesimamia mashirika ya kijamii na sekta binafsi kujiunga na juhudi za maendeleo, kuhakikisha ustawi wa jamii unashirikisha pande zote za umma.​

Uhakika wa Maisha na Mazingira

  • Sera za Rais Samia zinalenga pia uendelevu wa mazingira, kuhakikisha kwamba maendeleo ya uchumi hayapunguzi rasilimali za vizazi vijavyo.​
  • Miradi ya maji, nishati safi, na usafirishaji imepatiwa kipaumbele, ikisaidia kupunguza umasikini na kuboresha maisha ya wananchi.​
 
View attachment 3431032

===
Akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Kagera amesema Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani humo, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa maji yenye jumla ya MW 221.8 imetekelezwa na hivyo Tanzania kuwa na ziada ya umeme.

Mradi wa Rusumo (Ngara) – MW 80, umekamilika.
Murongo/Kikagati (Kyerwa) – MW 14, umekamilika.
Kakono (Missenyi) – MW 87.8, upo hatua ya upembuzi yakinifu.
Nsongezi (Kyerwa) – MW 40, maandalizi ya awali yanaendelea.

Mafanikio haya yamewezesha Mkoa wa Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa, hivyo kuondokana na utegemezi wa umeme kutoka Uganda na jenereta kama ilivyokuwa awali na sasa umeme unauzwa nje.
Hizi ndizo sababu 5 kwanini tumchague Rais Samia:

  1. Kiongozi mwenye dira na hekima – Ameonyesha uongozi wa utulivu, busara na maamuzi yenye kulinda maslahi ya Watanzania.
  2. Mageuzi ya kiuchumi – Amefungua Tanzania kimataifa, kuongeza uwekezaji na kusimamia miradi mikubwa ya kimkakati inayoongeza ajira na mapato ya taifa.
  3. Kuboresha huduma za jamii – Amewekeza kwenye elimu bila ada, afya bora, maji safi na nishati vijijini ili kuinua maisha ya wananchi.
  4. Kuimarisha mshikamano wa kitaifa – Ni kiongozi anayeunganisha Watanzania, kusikiliza sauti za wananchi na kushirikisha makundi yote katika maamuzi ya kitaifa.
  5. Ushirikiano wa kimataifa – Ameimarisha diplomasia ya uchumi na heshima ya Tanzania duniani, kuifanya nchi yetu kuwa kitovu cha fursa na maendeleo.
 
View attachment 3431032

===
Akiongea na wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Kagera amesema Chini ya Rais Samia Serikali imetoa jumla ya TZS 103,376,838,198 kwa sekta ya nishati mkoani humo, ambapo vijiji vyote 662 sawa 100% na vitongoji 1,763 kati ya 3,665 (48%) vimeunganishwa na umeme, Miradi hii minne mikubwa ya umeme wa maji yenye jumla ya MW 221.8 imetekelezwa na hivyo Tanzania kuwa na ziada ya umeme.

Mradi wa Rusumo (Ngara) – MW 80, umekamilika.
Murongo/Kikagati (Kyerwa) – MW 14, umekamilika.
Kakono (Missenyi) – MW 87.8, upo hatua ya upembuzi yakinifu.
Nsongezi (Kyerwa) – MW 40, maandalizi ya awali yanaendelea.

Mafanikio haya yamewezesha Mkoa wa Kagera kuunganishwa na Gridi ya Taifa, hivyo kuondokana na utegemezi wa umeme kutoka Uganda na jenereta kama ilivyokuwa awali na sasa umeme unauzwa nje.
🚮
 
Back
Top Bottom