G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,617
- 3,484
Kwani field marshal maana ake nini??
inasemekana kwamba ndiyo ngazi ya juu zaidi ya kimafunzo jeshini au uelewa na uwezo wa kufanya karibia kila kitu jeshini.

Ndo Mwigulu ana hyo rank??