Picha: Kumbe huyu Mlinzi wa Rais alikuwa UVCCM?

Wala hakuwa Uvccm Bali mtu yoyote akiteuliwa kugombea Urais kwa mjibu wa taratibu za nchi hii hasa akitokea chama tawala huhesabika kama ameshashinda kwahyo hupewa ulinzi na Kitengo cha usalama wa Taifa nakwakipindi cha kampeni walinzi hao huvaa nguo za chama
Muwe munafatilia mambo sio munakurupuka tu kama mwanamke ghafla.
 
Wewe ni wa hovyo na Nchi ya hovyo kabisa. Huyo ni green guard tu hata ukitetea vipi.

Mnakera
 
Wala hakuwa Uvccm Bali mtu yoyote akiteuliwa kugombea Urais kwa mjibu wa taratibu za nchi hii hasa akitokea chama tawala huhesabika kama ameshashinda kwahyo hupewa ulinzi na Kitengo cha usalama wa Taifa nakwakipindi cha kampeni walinzi hao huvaa nguo za chama
Muwe munafatilia mambo sio munakurupuka tu kama mwanamke ghafla.
Sawa vipi kwa upande wa chama kingine nao huwa wanapewa watu kutoka mwananyamala au?
 
Na hapa utasemaje? Alikuwa UN? Au alikuwa na Prof. Mwandosya?
1D003678-D3FD-44E9-B2D6-C8FB93E9A447.jpeg

67137EE9-5992-4323-9282-80361BC5BEB2.jpeg
 
Nilipenda kampen za ccm kisa huyu jamaa halafu hakua na kitambi kama saivi. Alivaa kuendana na mazingira na walikua wengi
 
Mleta mada kila mgombea Uraisi hupewa ulinzi na serikali akishapitishwa na tume ya uchaguzi kwa usalama wake labda akatae mwenyewe Mlinzi anakaa wapi nyuma au kwenye kundi anavaa nguo gani hayo ya kwake.Kazi ni kulinda mgombea
Lissu mtampa ulinzi 2020??
 
Back
Top Bottom