Picha: Kumbe huyu Mlinzi wa Rais alikuwa UVCCM?

Wala hakuwa Uvccm Bali mtu yoyote akiteuliwa kugombea Urais kwa mjibu wa taratibu za nchi hii hasa akitokea chama tawala huhesabika kama ameshashinda kwahyo hupewa ulinzi na Kitengo cha usalama wa Taifa nakwakipindi cha kampeni walinzi hao huvaa nguo za chama
Muwe munafatilia mambo sio munakurupuka tu kama mwanamke ghafla.
Upo sahihi, kila mgombea urais pasipo kujali chama chake hupewa ulinzi kutoka idara ya usalama wa taifa. Jambo huwa ni hiari ya mgombea kama anahitaji au la, hawalazimishwi
 
Waziri mkuu Sweden hana ulinzi.
Rais wa urusi anajilinda mwenyewe
Tajiri namba 3 duniani Warren Buffet
hana ulinzi sasa huku bongo Manara eti ana walinzi au eti mkuu wa wilaya fulani asiye hata na soni anayedai talaka kutoka kwa wake zake ETI ana ulinzi.
Umeongea upupu mkuu

Sory lakini
 
Huyo jamaa n Usalama na n mmwera wa wanachingwea wazazi wake na n mama yake tu KWA sasa anaishi Mtwara mtaa wa peninsula nyumba moja hivi, imeshoka kwan nnya zaman


Yule mweupe ni mwenyeji wa rufiji alikozaliwa na alifeli form four akawa anauza kiosk pale njia panda ya kwenda utete ukiingilia nyanwage
Alichukuliwa kuingizwa humo na jamaa mmoja ambaye pia alikuwa mwenyejj wa rufuji kijiju kimenitoka.


Tanzania haitoi ulinzi kwa wagombea lazma uelewe kwan haipo kisheria
Department ya bordgurd tanzania iko pale kwa ulinzi wa rais tu ofisi ya makamu na waziri mkuu na mke wa rais, the rest watalindwa na polisi chini ya uangalizi wa usalama wa taifa wawili hadi watatu wasio wajua.

Kilichofanyika kwa magufuli n formality na marais wa ccm hivyo ndivyo. Mlinz wa magufuli ni mrefu tena huwa anavaa kofia ya pama na ni msukuma huyo ndiye alikuwa analipwa na magufuli na yupo japo haonekani.


Waje waniteke lkn wasigeuze wala wasiniue
 
Huyo alishajulikana kuwa ndo rais tiss wanachukua nafasi yao ya kumlinda hapo alivalishwa gwanda za chama ili kupunguza maswal kama angevaa suti zao kalikali hata kwa wapinzan ingeleta taharuki

Ni mtazami wangu
 
Kwani vetting ili mtu awe rais inafanywa na nani? Once takwinu zikionesha ur the Prezidaa 2b, Teeth inakuwa kwa nyuma kukuprotect hata Trump alikuwa na secret service behind
 
Wala hakuwa Uvccm Bali mtu yoyote akiteuliwa kugombea Urais kwa mjibu wa taratibu za nchi hii hasa akitokea chama tawala huhesabika kama ameshashinda kwahyo hupewa ulinzi na Kitengo cha usalama wa Taifa nakwakipindi cha kampeni walinzi hao huvaa nguo za chama
Muwe munafatilia mambo sio munakurupuka tu kama mwanamke ghafla.
Hicho ndio walichobakiza mkuu, wanadandia chochote kile ambacho hakina hata maana
 
Back
Top Bottom