chapaa JF-Expert Member Feb 19, 2008 2,351 204 Oct 27, 2011 #41 umewakosea heshima Bebii said: au ni misukule si unajua mitaa hiyo kwa iyo teknolojia wapo juu? Click to expand...
umewakosea heshima Bebii said: au ni misukule si unajua mitaa hiyo kwa iyo teknolojia wapo juu? Click to expand...
MGAWARIZIKI JF-Expert Member Dec 16, 2010 305 47 Oct 27, 2011 #42 CDM wako juu CCM sasa wanahaha kujisafisha jambo ambalo halitekelezeki kwani sasa Watanzania sio mafala tena
CDM wako juu CCM sasa wanahaha kujisafisha jambo ambalo halitekelezeki kwani sasa Watanzania sio mafala tena
young activist Member Oct 24, 2011 33 4 Oct 27, 2011 #44 Hao watu wawili tu je ikienda timu nzima ya chadema itakuaje si balaaaaaaaaaaaaa kizuri kinajiuza