Picha: Kufuru ya Tundu Lisu jijini Mwanza Ijumaa iliyopita | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Kufuru ya Tundu Lisu jijini Mwanza Ijumaa iliyopita

Discussion in 'Jamii Photos' started by Idimulwa, Oct 26, 2011.

 1. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wakuu samahani kwa kuwachelewesheni, lakini hivi ndivyo kamanda lisu alivyotikisa mitaa ya kirumba pale uwanja wa magomeni hapa jijini mwanza na mwenyeji wake kiwia mbunge wa ilemela
   

  Attached Files:

 2. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kizuri always chajiuza kwa kamanada Lisu haihitaji kukodi maloli ya mchanga kujaza watu, moto uendelee hivo hivo mpaka vijijini,Asante mkuu kwa maphotoz
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  kwani nani huwa ziara yake sio kufuru? ulishawai kuona ziara ya lowassa hadi kuku huwa wanatoka mabandani
  sijaona kitu hapo
   
 4. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mkuu na wahi kushusha gunia zangu za dagaa pale mwaloni kirumba picha zingine keshooooo
   
 5. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  linganisha na hapa mbona hapo hakuwepo watu??

  [​IMG]
   
 6. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  What? gamba lowassa, mza hata hivyo hatuongei sana kifupi mpigie aje tena magoni tu wala asifike kati then utaona by the way unajua kilicho mtokea pale bos wako nape hivi majuzi
   
 7. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Huyu Lisu lazima alitumia malori kusomba watu na kikundi kile cha comedy
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  au ni misukule si unajua mitaa hiyo kwa iyo teknolojia wapo juu?
   
 10. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Weka picha 4 tu tofauti za mkutano wa nepi pale tuone, waliopo wenyewe wana huzuni make wamefika pale kwenye maroli tokea vijijini wakitegemea kwa ahadi ya ubwabwa ikala kwao kwa kamanda lisu ni full shangwe maana wote wako pale kwa hiari yao na pana hoja
   
 11. s

  sweke34 JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 28, 2010
  Messages: 2,533
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  dada, hata Chenge akiamua anaweza kukusanya umati wa watu. Cha msingi cha kujiuliza ni nini kinachowasukuma hao watu kwenda kwenye hiyo mikutano. Ukijiuliza vizuri utagundua kuna misukumo miwili tofauti kabisa kwa watu wanaokwenda kwenye mikutano ya viongozi wa CHADEMA na CCM.
   
 12. Josephine

  Josephine Verified User

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongereni sana.
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Huyu Lissu apange mbinu za kupambana na Bashe sasa, manake Kigwangala anaachia ngazi muda mfupi ujao.
   
 14. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #14
  Oct 26, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  Kufuru....kazi kweli kweli..
   
 15. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #15
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Intellectuals dont discuss photos! Dont you have issues, wrong platform!
   
 16. m

  majogajo JF-Expert Member

  #16
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mi nlikuwepo mwanza..lissu hakubeba wa2 kwenye lori.muulize nape akwambie kama alishangiliwa hata nukta moja...alibaki kutukana hana hamu ya kurudi tena mwanza. kirumba ni moja ya ngome imara ya chadema.
   
 17. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Cdm bwana, kaazi kweli kweli.
   
 18. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wanasubiri pilau and then fiesta...!
   
 19. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Tofauti ya mikutano ya CDM na CCM ni hii; Mikutano ya cdm hujaa yenyewe naturally bila kutumia nguvu sana kuinadi. Kwa Mikutano ya ccm, kazi inabidi kubwa hufanyika. Yaani!...Unaweza kuiita operesheni Somba Somba!
   
 20. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Watoto ndio huwa nawaona siku zote.....
   
Loading...