Picha: Kipanya na vifaranga

Mwaka huu macho madogo kashikwa kubaya na kipanya, sema ndo hivyo macho madogo wanakula na mama kwa hiyo sio shida zao...!!πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbaya zaidi hawajajiandikisha kwenye daftari la kudumu la kazi maalumu ya 25
 
Mama na kifaranga anae fanana nae yaani mtoto wake wa kumzaa kamuacha anakufa njaa, ila vifaranga ambao sio wake anawabeba na kuwalisha.
 
Mama Kuku anadeal na vifaranga wa Kuja ambao wana macho madogo.. Yule aliemtotoa yeye wanafanana hadi rangi ya manyoya kamsahau kwa muda.. Maana hao vifaranga macho madogo wana maslahi naye anapata lishe..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…