Picha, Kikwete - Pope Benedict nani mkali wa draft?

kakutana na mkuu wa makafir..wallah lazima tuandamane
 
Hili lazima limchanganye mkuu wa kaya, lingekua la visude vya bia bwana.
 
Chess! jk atakuwa anasema huwa naliona kwenye muvie tu!
 
draft linachezwa kwa kuangaliana usoni, yaani wanakaa mkao wa kuangaliana huku draft likiwa katikati. sasa hapa sijui jk anatembezaje kete. hahahaaa...!!. mia
 
ahueni ya hii kuliko ile aliyokutwa akibembea na mrs kule majuu, Duh! huyu mjamaa hakosi visa na vituko
 
kakutana na mkuu wa makafir..wallah lazima tuandamane

Unajua chanzo cha barozi wa Marekani nchini Libya kuuawa na vurugu zilizotokea nchini Misri? Tafakari na jaribu kuutumia ubongo wako vizuri kufikiri ili uweze kuonekana mwenye akili na busara.
 
Kwa wale wenzangu walevi wa propaganda za kidini/udini papa angekuwa amesimama hapo na kiongzi wa chadema hii thread ingekuwa mbali sana muda huu. Kwa sisi watumia simu ingekuwa iko page ya 3000.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…