Picha, Kikwete - Pope Benedict nani mkali wa draft?

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
images
 
draft linachezwa kwa kuangaliana usoni, yaani wanakaa mkao wa kuangaliana huku draft likiwa katikati. sasa hapa sijui jk anatembezaje kete. hahahaaa...!!. mia
 
kakutana na mkuu wa makafir..wallah lazima tuandamane

Unajua chanzo cha barozi wa Marekani nchini Libya kuuawa na vurugu zilizotokea nchini Misri? Tafakari na jaribu kuutumia ubongo wako vizuri kufikiri ili uweze kuonekana mwenye akili na busara.
 
Kwa wale wenzangu walevi wa propaganda za kidini/udini papa angekuwa amesimama hapo na kiongzi wa chadema hii thread ingekuwa mbali sana muda huu. Kwa sisi watumia simu ingekuwa iko page ya 3000.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom