B Bawa mwamba JF-Expert Member Joined Mar 19, 2010 Posts 350 Reaction score 32 Sep 13, 2012 #2 Naona kama ni CHESS vile
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 79,037 Reaction score 168,678 Sep 13, 2012 #3 Hivi mkuu wa ma Ulamaa duniani ni nani?
SILENT WHISPER JF-Expert Member Joined Jun 26, 2009 Posts 2,209 Reaction score 825 Sep 13, 2012 #4 kwani kuna umbali gani toka temeke mpaka dar..?? HAKUNA ULINGANIFU WOWOTE HAPO!
B babacollins JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 901 Reaction score 212 Sep 13, 2012 #5 Candid Scope said: Click to expand... Kwani hii ni draft mkuu?!!! ina jina lakeee.........................
Candid Scope said: Click to expand... Kwani hii ni draft mkuu?!!! ina jina lakeee.........................
Las Mas Bobos JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 991 Reaction score 326 Sep 13, 2012 #6 Candid Scope said: Click to expand... Ngoja zomba aione. Kama hakusema alikwenda kujadili Mufti ajae awe ni nani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Candid Scope said: Click to expand... Ngoja zomba aione. Kama hakusema alikwenda kujadili Mufti ajae awe ni nani
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Sep 13, 2012 #7 Las Mas Bobos said: Ngoja zomba aione. Kama hakusema alikwenda kujadili Mufti ajae awe ni nani Click to expand... Huna raha kama hujamtaja Zomba. Hiyo ni zawadi kutoka kwa Kikwete kwa mzee Papa, acheze vizuri chess kama kawaida yake. Ni zawadi nzuri inayoonesha jinsi Watanzania wanavyoweza kuchonga kwa kutumia mikono.
Las Mas Bobos said: Ngoja zomba aione. Kama hakusema alikwenda kujadili Mufti ajae awe ni nani Click to expand... Huna raha kama hujamtaja Zomba. Hiyo ni zawadi kutoka kwa Kikwete kwa mzee Papa, acheze vizuri chess kama kawaida yake. Ni zawadi nzuri inayoonesha jinsi Watanzania wanavyoweza kuchonga kwa kutumia mikono.
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,991 Reaction score 5,234 Sep 13, 2012 #8 Bujibuji said: Hivi mkuu wa ma Ulamaa duniani ni nani? Click to expand... Sidhani kama yupo maana huwa naona wanajiamulia tu kila kona ya Dunia kwa jinsi wanavyojisikia,Afghanistani,Saudia,Irani,Paistani,Yemeni,Somalia,na kwingineko wanaweza kutafsiri jambo moja katika maana tofauti kabisa..
Bujibuji said: Hivi mkuu wa ma Ulamaa duniani ni nani? Click to expand... Sidhani kama yupo maana huwa naona wanajiamulia tu kila kona ya Dunia kwa jinsi wanavyojisikia,Afghanistani,Saudia,Irani,Paistani,Yemeni,Somalia,na kwingineko wanaweza kutafsiri jambo moja katika maana tofauti kabisa..
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,239 Reaction score 3,939 Sep 13, 2012 #9 Bujibuji said: Hivi mkuu wa ma Ulamaa duniani ni nani? Click to expand... Ulamaa maana yake ni wasomi ni uwingi wa neno Alim au msomi. Kila msomi kuna aliye mzidi. Hapo sasa.
Bujibuji said: Hivi mkuu wa ma Ulamaa duniani ni nani? Click to expand... Ulamaa maana yake ni wasomi ni uwingi wa neno Alim au msomi. Kila msomi kuna aliye mzidi. Hapo sasa.