PICHA: Kikwete na huyu dogo wananong'onezana mambo matamu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
FB_IMG_1500965105958.jpg

Jakaya Kikwete always yuko happy tu. Watu ambao humshika mkono huyu jamaa lazima wabaki na baraka fulani aisee. Kila ambaye hubahatika kuonana na JK lazima moyo wake uzuuzike aisee.

Haka katoto kameshaondoka na neema ya JK.
 
Hiyo picha ni ya zamani wakati huo Kikwete akiwa Rais. Enzi hizo anatembea na pipi kwenye gari lake akifika kijijini kusiko na zahanati wala shule nzuri zenye waalimu wa kutosha yeye alikuwa bize kugawa "baraka" za pipi kwa watoto wa eneo hilo.

Hivi punde baraka kwako ni nini?
 
mzee angalau alikua na busara huyu..licha ya mapungufu yake
ila huyu wa sasa akipanda tu jukwaani tarajia aropoke usiyoyartarajia..
 
Hiyo picha ni ya zamani wakati huo Kikwete akiwa Rais. Enzi hizo anatembea na pipi kwenye gari lake akifika kijijini kusiko na zahanati wala shule nzuri zenye waalimu wa kutosha yeye alikuwa bize kugawa "baraka" za pipi kwa watoto wa eneo hilo.

Hivi punde baraka kwako ni nini?
Sasa hivi shule nzuri walimu wa kutosha elimu yetu iko juuu hata marekani Hawaii ndani. Nawaza kwa Sauti tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom