Picha - Kikwete full mzuka CCM baada ya Kikao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - Kikwete full mzuka CCM baada ya Kikao

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Sep 26, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  [​IMG][​IMG]
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  Sep 26, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,583
  Likes Received: 5,747
  Trophy Points: 280
  Waganga njaa kibao hapo.
   
 3. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,829
  Likes Received: 21,660
  Trophy Points: 280
  Hichi chama kilichoitwa chama cha wafanyakazi na wakulima wanyonge kimegeuka kuwa chama cha mipasho,
  chama cha kukata mauno na viduku,
  chama cha kugawa nafasi za ubunge wa vitanda maalumu, chama chenye mfumo wa biashara na unyonyaji,
  chama chenye mashindano ya kulipiziana visasi,
  chama cha kumega deal juu ya bega la mswahili.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,474
  Likes Received: 9,861
  Trophy Points: 280
  Rasmi, Lowassa kugombea urais 2015
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 19,468
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 180
  Yaani haya ndo mambo anayoyapemda huyu mzee
   
 6. Lekanjobe Kubinika

  Lekanjobe Kubinika JF-Expert Member

  #6
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 6, 2006
  Messages: 3,067
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mwache atese, anadumisha mila ya kwao ukwereni
   
 7. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #7
  Sep 26, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 5,566
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Bora kama umeshtuka mkuu!!usimwambie mtu mwingine.
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 34,330
  Likes Received: 11,065
  Trophy Points: 280
  huyu anayemkatikia mauno rais wetu hapo ni mama salma? Ama ni yule mdogo?
   
 9. MBWA HARUKI

  MBWA HARUKI Senior Member

  #9
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 3, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  usije shangaa kukuta ni mbunge wa viti maalum!
   
 10. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #10
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ukitaka kuamini hiki chama kimeoza ona wauza vitumbua walivyomzunguka monitor wa sarasa hapo shurti kutafuta biashara.na mteja yupo concetrated.kife chama cha mapinduzi.
   
 11. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #11
  Sep 26, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hivi ingewezekana kumkatia mauno kambarage kama hivi?
   
 12. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #12
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,944
  Likes Received: 866
  Trophy Points: 280
  yaani mwalimu mzima afanye hivi? tena alikuwa mtu kutoka mkoa wa watu serious watu wa kanda ya ziwa wengi hawacheki cheki
   
 13. A

  Abuu- Amin Member

  #13
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni mambo yenu nyinyi, mziki unahusiana nini kwenye kusherehekea.
  Kambarage ni kajamaa flan tu kalitaka kujifanya kana akili pekee yake nchi nzima alafu kalijipa cheo cha uungu mtu.
  Wacha mheshimiwe afurahi bana nyie chukueni time
   
 14. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #14
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,597
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Hapo kwenye RED umekosea au ulikuwa unamaniisha ni aina nyingine hii ya ubunge?
   
 15. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #15
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,829
  Likes Received: 21,660
  Trophy Points: 280
  Ukisema viti maalum unakosea.
  Ni mbunge wa vitanda maalum.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 16. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #16
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,829
  Likes Received: 21,660
  Trophy Points: 280
  Sijakosea, ndo aina hiyo hiyo niliyoandika.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 17. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #17
  Sep 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 25,829
  Likes Received: 21,660
  Trophy Points: 280
  Bado hujajibu swali.


  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 18. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #18
  Sep 26, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,254
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Gamba likitoa uchovu,
   
 19. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #19
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tumeshachukua.
   
 20. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #20
  Sep 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  tena ambao kazi inayoogopwa ma wengi ndio ilikuwa yao kazi ya geshi.aminia mara.
   
Loading...