Picha - Kikwete full mzuka CCM baada ya Kikao

ndio maana kasema chichiem haifi kama haya mashangingi yapo itakufa itaenda wap? hahahaha Jakaya hivo viburudisho anavipenda sana
 
Huyo mama km sio viti maalum basi atateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na hayo yatakuwa malipo ya hiyo kazi anayoifanya hapo
 
i
4_%2BJK%2Bakisakata%2Bmuziki%2Bwa%2Bhamasa%2Bya%2BChama%2Bna%2BVijana%2Bwa%2BCCM.jpg


Naona mama wa mtu akiwa anabambiwa na Handsome...sijui wanae wanajisikiaje ukizingatia Handsome anavyopenda uvungu aarrghhhh!!!
 
Huyo mama km sio viti maalum basi atateuliwa kuwa mkuu wa wilaya na hayo yatakuwa malipo ya hiyo kazi anayoifanya hapo

Kwani kuna swali hapo!?? hilo ndo jibu lenyewe, humkumbuki VICKY ACHIA baada ya ule wimbo wake wa kumfananisha na mfalme selemani!? akapewa ubunge, makazi uingerezani na mtoto juu!
 
Back
Top Bottom