Elections 2010 PICHA: Kikwete alivyofunika jana huko Mwanza

umatiwawananchikatikamkutanowakampeniuwanjawasaharajijiniMwanza2.jpg

NyomiiliyomlakiJKuwanjawaSaharajijiniMwanzawakatiwamkutanowakampeni.jpg

MsaniiBushokeakitumbuizauwanjawaSaharajijiniMwanza.jpg

NyomiiliyomlakiJKuwanjawaSaharajijiniMwanzawakatiwamkutanowakampeni2.jpg

NyomiiliyomlakiJKuwanjawaSaharajijiniMwanzawakatiwamkutanowakampeni7.jpg

Mleta habari mbona simuoni jk WAKO HAPO?? NAMUONA fID q TU......NADHANI HILI LILIKUWA TAMASHA LA WANAMUZIKI TU
 

wewe fikiria mtu utakuta hana la kufanya ataacha kwenda kuchukua mtisheti wa bure na mkofia? tunajua kabisa idadi kubwa ya watz kununua nguo ni ANASA sasa ataacha kwenda na kusikiliza mziki na wakati mwingine anapewa buku tano au kumi ...tuweni wakweli tu na hali halisi
 
Peleka kura yako kwa Slaa, albamu tutaangalia baadaye, tushughulikie kwanza masuala ya kitaifa au sio bro...
 
Nasikia watoto wa shule kibao waliflazimishwa kufunga shule ili waende kufunika, na malori yote yalisomba watu
Jiulize Dr. Slaa umati wake huletwa na nani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom