BeibeSmith Senior Member Joined Jun 3, 2016 Posts 140 Reaction score 135 Jun 17, 2016 #41 Kama ni mke wa mtu na sio mke wako basi haina tatizo. Mumewe hana shida
Kakole JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,094 Reaction score 1,751 Jun 17, 2016 Thread starter #42 BeibeSmith said: Kama ni mke wa mtu na sio mke wako basi haina tatizo. Mumewe hana shida Click to expand... Sasa picha zingine zinaweza kuamsha vilivyolala teh
BeibeSmith said: Kama ni mke wa mtu na sio mke wako basi haina tatizo. Mumewe hana shida Click to expand... Sasa picha zingine zinaweza kuamsha vilivyolala teh
Kakole JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,094 Reaction score 1,751 Jun 17, 2016 Thread starter #43 peterchoka said: Album siku hizi zimehamia mtandaoni mkuu.. twanga photo Click to expand... Mimi sikujua kuwa watu wanatunza picha zao humo, si unajua tena sisi wa enzi za mwalimu bado tuko nyuma kiaina kwenye haya ma issue
peterchoka said: Album siku hizi zimehamia mtandaoni mkuu.. twanga photo Click to expand... Mimi sikujua kuwa watu wanatunza picha zao humo, si unajua tena sisi wa enzi za mwalimu bado tuko nyuma kiaina kwenye haya ma issue
BeibeSmith Senior Member Joined Jun 3, 2016 Posts 140 Reaction score 135 Jun 17, 2016 #44 Kakole said: Sasa picha zingine zinaweza kuamsha vilivyolala teh Click to expand... Unazionea wapi mkuu? Kama ni instagram/fb dont follow.
Kakole said: Sasa picha zingine zinaweza kuamsha vilivyolala teh Click to expand... Unazionea wapi mkuu? Kama ni instagram/fb dont follow.
ntabudjo Member Joined Jun 1, 2016 Posts 70 Reaction score 69 Jun 17, 2016 #45 kumbe ndo tabia yako ya kutafuta wanawake kwenye mitandao
Kakole JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,094 Reaction score 1,751 Jun 17, 2016 Thread starter #46 BeibeSmith said: Unazionea wapi mkuu? Kama ni instagram/fb dont follow. Click to expand... Si unajua tena macho hayana pazia mkuu, nazionaga fb ila zinakuwa nyingi mpaka zinakera mkuu hiyo instagram bado sijajiunga huko kwakweli maana nasikia ndio balaa zaidi.
BeibeSmith said: Unazionea wapi mkuu? Kama ni instagram/fb dont follow. Click to expand... Si unajua tena macho hayana pazia mkuu, nazionaga fb ila zinakuwa nyingi mpaka zinakera mkuu hiyo instagram bado sijajiunga huko kwakweli maana nasikia ndio balaa zaidi.
Kakole JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,094 Reaction score 1,751 Jun 17, 2016 Thread starter #47 ntabudjo said: kumbe ndo tabia yako ya kutafuta wanawake kwenye mitandao Click to expand... Ulitaka niwatafutie wapi sasa?
ntabudjo said: kumbe ndo tabia yako ya kutafuta wanawake kwenye mitandao Click to expand... Ulitaka niwatafutie wapi sasa?
JM K JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 616 Reaction score 547 Jun 17, 2016 #48 Ni kama vile mwandishi ni ww ila mawazo au habari ni yangu
juvenile davis JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 4,752 Reaction score 4,480 Jun 17, 2016 #49 Kila mtu na maisha yake mkuu..kama ambavyo wewe hupendi kuweka picha na ndivyo na sisi tunapenda kuweka picha,so tusipangiane maisha ebooo
Kila mtu na maisha yake mkuu..kama ambavyo wewe hupendi kuweka picha na ndivyo na sisi tunapenda kuweka picha,so tusipangiane maisha ebooo
M muafrika08 JF-Expert Member Joined May 22, 2016 Posts 255 Reaction score 104 Jun 17, 2016 #50 Bavaria said: Mnawaogopa sana wake zenu? Click to expand... Hawaogopwi ila wanaheshimiwa
Kule Kwetu JF-Expert Member Joined Jan 10, 2016 Posts 3,157 Reaction score 1,907 Jun 18, 2016 #51 Mkuu, ninachojiuliza ni kwamba inakuaje wewe unakereka na picha anazopost mtu mwingine kwasababu zake mwenyewe? Kwanini unawakataza watu kufanya wanayopenda wao kisa wewe hupendi? Kwani mnashea profile? Nakushauri tu ishi maisha yako kwa style yako binafsi, ukijiuliza sana ya watu wengine utaishia kukereka sanaaaa.
Mkuu, ninachojiuliza ni kwamba inakuaje wewe unakereka na picha anazopost mtu mwingine kwasababu zake mwenyewe? Kwanini unawakataza watu kufanya wanayopenda wao kisa wewe hupendi? Kwani mnashea profile? Nakushauri tu ishi maisha yako kwa style yako binafsi, ukijiuliza sana ya watu wengine utaishia kukereka sanaaaa.
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,628 Jun 18, 2016 #52 Ni uamuzi wao kama hupendi mtu una unfollow...maisha yao pia kila mtu na uhuru wake kwenye account yake inaruhusiwa...na haina tabu.
Ni uamuzi wao kama hupendi mtu una unfollow...maisha yao pia kila mtu na uhuru wake kwenye account yake inaruhusiwa...na haina tabu.
M muongozaji JF-Expert Member Joined Oct 9, 2009 Posts 1,386 Reaction score 1,003 Jun 18, 2016 #53 I hear you mkuu! Ila ngoja wenyewe waje....nitakuwa naangalia kwa mbali mashambulizi..ha ha ha