Aiseeee....sasa wife akiona picha zako fb kesi inatoka wapNilijitoa facebook siku nilipoona frnd request kutoka kwa wife...Na katika kipindi chote hicho nilikuwa na picha zinazonadi shughuli zangu tu...
Si tu kuona zangu hata mimi sitaki kuona zake huko...Maisha yake huko sitaki kuyajua kabisa.Aiseeee....sasa wife akiona picha zako fb kesi inatoka wap
hapo kwenye ukiukwaji wa maadili hata mimi nachukia na sipendezwi na hali hiyo, ila kinyume na hapo mbona nginja tu!Mkuu umeelezea vzr sana tatizo halipo ila km ujuavyo hata kabla ya ujuio wa hii mitandao watu walikuwa wanapiga picha kukumbukia tukio flani lakini sasahivi mtu anajipigia mipicha tu hovyo hovyo mbaya zaidi unakuta amejibinuabinua hasa kwa hawa dada zetu, picha zingine hazina maadili hata kidogo wapunguze bwana mimi zinanikera sn
Kwanini mkuu...naomba nipe maarifa maaana Shem wako mim nlimfungulia acc fbSi tu kuona zangu hata mimi sitaki kuona zake huko...Maisha yake huko sitaki kuyajua kabisa.
Hii ninayotumia humu.Hebu niambie ww unatumia jina gani nikutumie friend request lkn usiwe mtu wa kuweka mipicha hovyo hovyo maana wa dizain hizo nishawaunfriend
kabisaaaaUkiona kitu hukipendi ujue hakijaja kwa ajili yako
Fb sio sehem ya kupost picha au kutoa mada au kuinbox tuu kuna wengine wanasoma habar only. Ndio maana hata mark mmliki wa fb huwa hapost mipicha kila siku.Ukiona mtu ana Acc FB na ni active mda
wote kama hatupii Pc au mada yoyote na kujibu coment za watu,,,,,,,, huyo ni mzee wa kuwa INBOX watu!! sasa sijui nani ana nafuu!!!!!!!
Maex wake wakikoment na kulikes picha zake unajisikiajeKwanini mkuu...naomba nipe maarifa maaana Shem wako mim nlimfungulia acc fb
Hahaaahaaa.. Duuh inafurahisha hahaaahaaNilijitoa facebook siku nilipoona frnd request kutoka kwa wife...Na katika kipindi chote hicho nilikuwa na picha zinazonadi shughuli zangu tu...
Haahaa Kusengelalika nyumbani bora alivyotokaUngemkubalia halafu ukamblock.
Mnawaogopa sana wake zenu?Haahaa Kusengelalika nyumbani bora alivyotoka