Mkuu umeelezea vzr sana tatizo halipo ila km ujuavyo hata kabla ya ujuio wa hii mitandao watu walikuwa wanapiga picha kukumbukia tukio flani lakini sasahivi mtu anajipigia mipicha tu hovyo hovyo mbaya zaidi unakuta amejibinuabinua hasa kwa hawa dada zetu, picha zingine hazina maadili hata kidogo wapunguze bwana mimi zinanikera snkupiga picha kuna athari gani mkuu? labda ziwe tofauti na mtazamo wa jamii fulani, lakini kama hazikwazi mtu yeyote tatizo liko wapi? sio kwamba nawalinda wapiga picha, hapana, ila kiukweli sioni tatizo wengine labda hutunza kumbukumbu kwa njia ya mtandao maana zinakuwa salama 100%. binafsi sio mpenzi wa kupiga picha na kuweka mtandaoni labda iwe tukio muhimu, ila pia sio tatizo mtu akipiga picha akaweka kwenye akaunti yake. ila kama anatupia kwenye makundi huo ni ulimbukeni wa kiwango cha jecsa
Felix AwedaUnatumia jina gain Facebook?
Wandugu acha nitoe yangu ya moyoni hapa kama kuna mtu atakereka basi aniwiye radhi, kuna issue huwa inanikera kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii km vile FB, hivi nini maana yake kutwa mtu kutuma mipicha yako hata kwa matukio ambayo hayana mashiko?
Huwa kwakweli nawachukulia tofauti watu wa dizaini hii wanaopenda kujiadvertise mnoo kule, maana km binti basi ujue lazima atakuwa yupo kibiashara zaidi hakuna lingine, sasa je kwa wanaume na wao hii imekaaje?
Mtu kutwa kujipost kah! mara nyingi nikiona mtu anaendekeza hizo hbr mara nyingi nawaunfriend tu hata km ni ndugu yangu au rafiki wa karibu,
Hebu tujibehave jaman maana mke wa mtu naye kutwa kujipost mara kajibinua hivi mara vile daaah! mwishoye watu sasa uvumilivu utatushinda tujikute tumetangaza nia buree..tukijua labda una maana nyingine.
kazi njema.
Ukiona kitu hukipendi ujue hakijaja kwa ajili yako
Nilijitoa facebook siku nilipoona frnd request kutoka kwa wife...Na katika kipindi chote hicho nilikuwa na picha zinazonadi shughuli zangu tu...