hizi ndio mbinu zilizo imaliza chadema na kuamua kuolewa na cuf na ccr mageuzi
Mnyonge mnyingeni lakini haki yake mpeni, Ab Kinana aliisaidia sana CCM, tatizo ni kwamba CCM ilikuwa imejipaka kinyesi kwa muda mrefu sana, wana kila sababu kumuenzi Ab Kinana, mzee wa watu alitumia kila mbinu kama hizo unazoziponda kikirejeshea chama kichafu angalau chembe ya uhai.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mbinu za kizamani Sana, Hii ni moja ya sababu