The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 7,382
- 8,437
Kila mtu na anachopenda,Kati ya A na B Utachagua Nini?
A=Manzi Mkali
B=Ndinga Kali
A=Manzi Mkali
B=Ndinga Kali
Unaonaje hili zigo hapa 👇huyo ndo manzi mkali?
kahaba huyoUnaonaje hili zigo hapa
Tunachoangalia Ni kinachonoga kuanzia kwenye macho Hadi chumbanikahaba huyo
Utakuwa mbaya wewe sio bure.😂😂
Joannah , cocastic, Demi et. al mnaitwa huku mchague.Kila mtu na anachopenda,Kati ya A na B Utachagua Nini?
A=Manzi Mkali
B=Ndinga KaliView attachment 2446381
Watoto na mawazo yenu, kichekesho kitupu. Ukikuwa utajua hamna cha bure chini ya juaKila mtu na anachopenda,Kati ya A na B Utachagua Nini?
A=Manzi Mkali
B=Ndinga KaliView attachment 2446381
Dah na maisha hayana shortcutWatoto na mawazo yenu, kichekesho kitupu. Ukikuwa utajua hamna cha bure chini ya jua
True. Mawazo ya namna hii kutaka vitu vizuri bila ya kugharamika huwafanya madogo wengi wawe machokoDah na maisha hayana shortcut