Kweli unashindanisha ndinga na vitu vya kijinga? serious 🤔?
Nipasie huyo manzi mkali tafadhali, ndinga kali tayari ninayo😜
ChaiKuna jamaa akienda bar anavaa kabisa na kinga kabla hajalewa harafu anakaa kwenye kiti, maana akilewa anafanyanga maamuzi bila kujijua,anaondoka na mtoto akifika asije uza mechi😅😅 kwaiyo hapa nafikili agechagua A
😂😂😂🙋Umemaanisha manzi mkali au manzi mwenye Tako?