Picha:Kangi Lugola akiwa na viongozi waandamizi wa Zanzibar

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
859
1,864
Mh kachoka sana
Uongozi mgumu sana.
FB_IMG_15427208655972927.jpg
 
Jamaa ni muislam safi isitoshe alienda kuhiji usikute urais anataka kuacha sema kitengo ndo wanamlazisha lazima achoke, hijja na batili haviendani.
 
Huyo mtu aliye jichomeka katika picha ya Kangi Lugola na viongozi wa Zanzibar ni nani au ni mgonjwa alilazwa hosibitali ya Mnazi Mmoja Kangi na viongozi walienda kumpa pole? ndg zake nao wangempa nguo za kumtosha wamemvesha suti kuuubwa kisa tu kupiga picha na viongozi.
 
Jamaa ni muislam safi isitoshe alienda kuhiji usikute urais anataka kuacha sema kitengo ndo wanamlazisha lazima achoke, hijja na batili haviendani.
Amechoka kwa sababu ya kuitendea haki Zanzibar. Amefanya makubwa sana.
 
Huyu baada ya kustafu ndio ata kuwa Sawa, ila kwa sasa ana onekana ana msongo wa mawazo kuliko hata mimi Yani.
 
Ninja atakuwa kawpunja wenzake ubuabua ona alivyo shiba!Huyo wa pili kutoka Ninja atakuwa hawezi kula cha moto hivyo wamempiga kapa
 
Yuko sawa tu, c o huyu mwingine na tumbo lake kuubwa, hivi na tumbo lote hilo bado unakula ili iweje???,, Hilo tumbo anaweza survive nalo kama ngamia
 
Back
Top Bottom